Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Mkuu wale wa migodini matumizi yao vp?Mkuu pesa za kutafuta kwa jasho ndo pesa sahii kwani ata matumizi yake huwa ni ya nidhamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wale wa migodini matumizi yao vp?Mkuu pesa za kutafuta kwa jasho ndo pesa sahii kwani ata matumizi yake huwa ni ya nidhamu.
Wewe ni mshenzi na mpumbavu Wa kiwango cha reli ya Standard Gauge, unaanzaje kufananisha Deci na Forex !!!! Vitu kama hujui uwe unauliza Mkuu acha kushadadia mamboHii FOREX kuna siku vyombo vya usalama vinavyohusika vitaisambaratisha tu, vijana wetu wametumbukia kwenye shimo, hawajuwi watatokaje, hela zao na labda za wazazi, ndugu na marafiki zimeliwa huko, wale walioumia kuna siku tu watakubali na kuibuka kutangaza maumivu na kuvunja ukimya wa wengi, "DECI" in making, lazima kutatokea watu kukamatwa na kushitakiwa, ebu subiri tuone, taratibu victims and vulnerables wanajitokeza, "get rich quick schemes" huwa hazina maisha marefu, tumeshuhudia kuanzia "Ponzi" "DECI" na utapeli mwingineo...Their days are numbered..
Unahusika nini wewe mshenzi na mpumbavu?! Maana wanaouhisika wana tabia ya kushambulia watu wanaopinga hii FOREX kwa nguvu zote, hapo ndipo maswali yanapotupata raia, lazima kuna kitu hapo, haiwezekana mkawa mnatukana watu na kuwashambulia kihivyo...Wewe ni mshenzi na mpumbavu Wa kiwango cha reli ya Standard Gauge, unaanzaje kufananisha Deci na Forex !!!! Vitu kama hujui uwe unauliza Mkuu acha kushadadia mambo
FOREX HAINA SHORTCUT MKUU IKIONA JINA LA FOREX ALAF KUNA SHORTCUT UJUE UMELIWA, REAL FOREX HAINA SHORTCUTUnahusika nini wewe mshenzi na mpumbavu?! Maana wanaouhisika wana tabia ya kushambulia watu wanaopinga hii FOREX kwa nguvu zote, hapo ndipo maswali yanapotupata raia, lazima kuna kitu hapo, haiwezekana mkawa mnatukana watu na kuwashambulia kihivyo...
Mkulu kila siku anahimiza Vijana kufanya kazi. Wanao penda kutusua bila kufanya kazi hayo ndo matokeo.Hii FOREX kuna siku vyombo vya usalama vinavyohusika vitaisambaratisha tu, vijana wetu wametumbukia kwenye shimo, hawajuwi watatokaje, hela zao na labda za wazazi, ndugu na marafiki zimeliwa huko, wale walioumia kuna siku tu watakubali na kuibuka kutangaza maumivu na kuvunja ukimya wa wengi, "DECI" in making, lazima kutatokea watu kukamatwa na kushitakiwa, ebu subiri tuone, taratibu victims and vulnerables wanajitokeza, "get rich quick schemes" huwa hazina maisha marefu, tumeshuhudia kuanzia "Ponzi" "DECI" na utapeli mwingineo...Their days are numbered..
mbona uzi umekaa kimajungu majungu kuleta mada bila ushahidi wa kutosha hizo ni fitna mleta mada ukiambiwa ulete ushahidi unao ?? maana m300 si kesi ndogo vinginevo ni kupikia watu majungu na wivu wa kikeKumekuwa na makundi tofauti tofauti katika whatsapp yanayoibuka Ili kumvutia mtu awekeze pesa ili wajanja wazipige kwa kisingizio cha kutrade ili upewe mpaka 70%ya mtaji wako in 4days only.
Makundi hayo ni kama tajirika na forex,forex investors nk.
Vinara wa wizi huu ni Dada mmoja anaejulikana kwa jina la veronica Anthony. .na kijana mmoja ambae anajitambulisha kama mdogo wake veronica.Anthony wiliam lwitiko.huyu kwa uchunguzi ni mwanafunzi wa UDOM yupo pale natural mathematics and science. Mpaka sasa wameshawaliza watu zaidi ya tsh mil 300 na bado wanaendeleza utapeli huo.
Ndugu zangu kuweni makini na link mbalimbali zinazokuambia jiunge group fulani uanze na mtaji mdogo wa 20000 tu eti utajipatia mpaka 25ml kwa muda mfupi.uongo uliokithiri huo....
Nimeona tushirikishane maana hawa jamaa mpaka sasa ni wanted lkn bado wanaendeleza utapeli huo kila kona.
Na "Sharks" wapo wanawasubiria kwa hamu, hujakaa sawa mtu kurudi kwenye akili timamu ushaliwa vyote...Mkulu kila siku anahimiza Vijana kufanya kazi. Wanao penda kutusua bila kufanya kazi hayo ndo matokeo.
Kumekuwa na makundi tofauti tofauti katika whatsapp yanayoibuka Ili kumvutia mtu awekeze pesa ili wajanja wazipige kwa kisingizio cha kutrade ili upewe mpaka 70%ya mtaji wako in 4days only.
Makundi hayo ni kama tajirika na forex,forex investors nk.
Vinara wa wizi huu ni Dada mmoja anaejulikana kwa jina la veronica Anthony. .na kijana mmoja ambae anajitambulisha kama mdogo wake veronica.Anthony wiliam lwitiko.huyu kwa uchunguzi ni mwanafunzi wa UDOM yupo pale natural mathematics and science. Mpaka sasa wameshawaliza watu zaidi ya tsh mil 300 na bado wanaendeleza utapeli huo.
Ndugu zangu kuweni makini na link mbalimbali zinazokuambia jiunge group fulani uanze na mtaji mdogo wa 20000 tu eti utajipatia mpaka 25ml kwa muda mfupi.uongo uliokithiri huo....
Nimeona tushirikishane maana hawa jamaa mpaka sasa ni wanted lkn bado wanaendeleza utapeli huo kila kona.
Hauna jema wewembona uzi umekaa kimajungu majungu kuleta mada bila ushahidi wa kutosha hizo ni fitna mleta mada ukiambiwa ulete ushahidi unao ?? maana m300 si kesi ndogo vinginevo ni kupikia watu majungu na wivu wa kike
Shame on uForex haina tofauti na BIKO
Wanategewaga vibudu... maana akishaskia faida ni 25m kwa mwezi af ye aweke 50k anapagawawatz bwana daah, unaona kabisa mdomo wa mamba na wewe unajipeleka
Mkulu kila siku anahimiza Vijana kufanya kazi. Wanao penda kutusua bila kufanya kazi hayo ndo matokeo.