Unasemeje
JF-Expert Member
- Apr 29, 2021
- 249
- 923
Kama kuna kitu unataka kununua kwa matumizi ya kesho na unaishi kwenye maeneo tajwa hapo juu, tafadhali nunua leo.
Pia wanaopanga kwenda kanisani nivema mkaabudu majumbani. Kuna hatari inawanyemelea huko.
Ni hivi, kesho ntakuwa najifunza kuendesha pikipiki na ntatumia hiyo barabara hivyo tusilaumiane.