Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Nianze kwa kuwasalimu wakuu!
Ebwana kumezuka kamchezo fulani mitaani especially uswahilini na kwa ushuhuda wangu nimeshaona matukio kama hayo zaidi ya matatu.
UTANGULIZI;
Kuna baadhi ya wazazi na walezi wasio waaminifu mimi ninawaita wahuni wanaowatumia mabinti zao wenye umri chini ya miaka 18 au waliopo mashuleni kufanya biashara haramu ya uporaji mali kwa kupitia mabinti zao.
INAKUWAJE;
Wanawapanga mabinti hao kuwa wafanye juu chini watembee na fulani na kwakuwa issue ya mapenzi ni usumaku na watoto wenyewe wanaofanyiwa biashara ni warembo na ukizingatia umri wao ni kama maua hivyo mwanaume anakuwa rahisi kushawishika.
Baada ya binti kumshawishi mwanaume wazazi/walezi waliomtuma mzazi anapanga na mwanae kuwa afanye naye mapenzi mahali popote ila awape taarifa kuwa ni wapi baada ya mda mzazi anafika sehemu hiyo na askari njaa wanakutight aidha ULIPE SH MILLION TATU au WAKUPELEKE MAHAKAMANI UFUNGWE 30 YEARS.
Kiubinaadamu hata mimi na wewe tutachagua kutoa hela ili ubakie huru uraiani na hata kama huna utakopa na kuuza vitu vyako.
Tabia hii ilianza maeneo ya mijini especial Dar es salaam but bad enough kwa sasa mbinu hii inatumika nchi nzima.
My take;
Wazee wa michepuko, mafataki, vicheche msiopitwa na kila aina ya nyama buchani mwache maramoja kabla ya jumba bovu kuwadondokea.
Pia walezi na wazazi badilikeni msiwatumie mabinti wenu kama chanzo cha mapato sio picture nzuri mtu na mwanae kupanga namna ya kufanya utapeli au unyang'anyi tena kwa kutumia nyeti zao.
Sent using Jamii Forums mobile app