Tahadhari; Walezi na wazazi wa mabinti chini ya miaka 18 uswahilini wanavyoitumia fursa ya miaka 30 jela

Tahadhari; Walezi na wazazi wa mabinti chini ya miaka 18 uswahilini wanavyoitumia fursa ya miaka 30 jela

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Nianze kwa kuwasalimu wakuu!
Ebwana kumezuka kamchezo fulani mitaani especially uswahilini na kwa ushuhuda wangu nimeshaona matukio kama hayo zaidi ya matatu.

UTANGULIZI;
Kuna baadhi ya wazazi na walezi wasio waaminifu mimi ninawaita wahuni wanaowatumia mabinti zao wenye umri chini ya miaka 18 au waliopo mashuleni kufanya biashara haramu ya uporaji mali kwa kupitia mabinti zao.

INAKUWAJE;
Wanawapanga mabinti hao kuwa wafanye juu chini watembee na fulani na kwakuwa issue ya mapenzi ni usumaku na watoto wenyewe wanaofanyiwa biashara ni warembo na ukizingatia umri wao ni kama maua hivyo mwanaume anakuwa rahisi kushawishika.

Baada ya binti kumshawishi mwanaume wazazi/walezi waliomtuma mzazi anapanga na mwanae kuwa afanye naye mapenzi mahali popote ila awape taarifa kuwa ni wapi baada ya mda mzazi anafika sehemu hiyo na askari njaa wanakutight aidha ULIPE SH MILLION TATU au WAKUPELEKE MAHAKAMANI UFUNGWE 30 YEARS.

Kiubinaadamu hata mimi na wewe tutachagua kutoa hela ili ubakie huru uraiani na hata kama huna utakopa na kuuza vitu vyako.

Tabia hii ilianza maeneo ya mijini especial Dar es salaam but bad enough kwa sasa mbinu hii inatumika nchi nzima.

My take;
Wazee wa michepuko, mafataki, vicheche msiopitwa na kila aina ya nyama buchani mwache maramoja kabla ya jumba bovu kuwadondokea.

Pia walezi na wazazi badilikeni msiwatumie mabinti wenu kama chanzo cha mapato sio picture nzuri mtu na mwanae kupanga namna ya kufanya utapeli au unyang'anyi tena kwa kutumia nyeti zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hao pamoja na wake za watu huwa nawapelekaga mbalii kabisa,Kwamfano nipo Dodoma naenda kumlia Singida

Na nikiona machale yangu hayajakaa vizuri naweza nikatoboa hadi Igunga!

Waje wanikamate!
 
Ndio hivyo Mkuu!

Hapo mbona karibu,tushaenda mbali zaidi!

Akirudi nyumbani wanajidai kumbana "ulikuwa wapi" tupeleke ulipokuwa na utuonyeshe uliyekuwa naye dawa sio mbali dawa ukishakula tu imekula kwako
 
Akirudi nyumbani wanajidai kumbana "ulikuwa wapi" tupeleke ulipokuwa na utuonyeshe uliyekuwa naye dawa sio mbali dawa ukishakula tu imekula kwako
Hadi turudi Mkuu,itakua siyo kesi tena,atakua ameshaoga tayar,i ushahidi hakuna tena

Msala ni udakwe ukiwa kwenye shughuli na usharusha wazungu,hiyo ni rape,na miaka inakuhusu
 
Duuh watoto wamekuwa source of family income? Hatari sana hii maana mtoto anaweza pata mimba au vvu kirahisi maana wapo wataalam wakukwepa mitego
 
1551299626403.png
 
"Intellgency is better than Age " by Medie Kagere Simba Striker
 
Mimi hao pamoja na wake za watu huwa nawapelekaga mbalii kabisa,Kwamfano nipo Dodoma naenda kumlia Singida

Na nikiona machale yangu hayajakaa vizuri naweza nikatoboa hadi Igunga!

Waje wanikamate!
yaani safari ya kilometers kwa ajiri ya kipochi manyoya tu, kaka angalia utakufwa maskini bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom