Tahadhari ya #COVID19: Nawa mikono yako kwa Sabuni na Maji Tiririka au tumia Sanitizer. Hand Dryers haziui Virusi vya Corona

Tahadhari ya #COVID19: Nawa mikono yako kwa Sabuni na Maji Tiririka au tumia Sanitizer. Hand Dryers haziui Virusi vya Corona

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
20200403_114932_0000.png


Ufafanuzi uliotolewa na Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) umeeleza kuwa "Hand Dryers" au vikausha mikono sio njia sahihi na iliyothibitishwa kuwa inaweza kuua Virusi visababishavyo Ugonjwa wa #COVID19.

WHO, wamewasisitiza watu kunawa mikono kwa Sabuni ma Maji Tiririka, kutumia Vitakasa Mikono (Hand Sanitizer).


======
Are hand dryers effective in killing the new coronavirus?

No. Hand dryers are not effective in killing the 2019-nCoV.

To protect yourself against the new coronavirus, you should frequently clean your hands with an alcohol-based hand rub or wash them with soap and water. Once your hands are cleaned, you should dry them thoroughly by using paper towels or a warm air dryer.

mythbusters-27.png
 
Upvote 0
Huku kunawa mikono kwa kutumia koki za kuzungusha ni kusambaza virusi. Akija mwenye virusi anaacha virusi kwenye koki kisha unakuja na wewe unanawa kisha unafunga koki na inakua umebeba virusi. Mimi sinawi kwenye hivi vindoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom