TAHADHARI YA HALI YA HEWA: Kutakuwa na ukame wa muda mrefu, na sio mvua kubwa kama ilivyotabiriwa awali

TAHADHARI YA HALI YA HEWA: Kutakuwa na ukame wa muda mrefu, na sio mvua kubwa kama ilivyotabiriwa awali

Habari zinazohusiana na mambo ya hali ya hewa na mabadilko ya tabia nchi huwa zinaleta taharuki, hofu na wasi wasi lakini pia ni taarifa!!

Lakini ni taarifa zinazo tegemewa na wadau mbali mbali kwenye sekta mbali mbali kwa ajili ya kuendesha shughuli zao kwenye maeneo yao kulingana na taarifa yenyewe.....

Kwa kutambu impact ya jambo hilo kwenye maisha na shughuli za kila siku za maisha ya watu na athari zake ndio maana mataifa mbali mbali wakaunda idara au vitengo vinavyotoa taarifa kuhusu mambo ya hali ya hewa na tabia nchi kwa ujumla wake.....

Ndugu mtoa mada kwa kuzingatia uzito wa habari yako ingekuwa vyema kama ungetuwekea na chanzo cha taarifa yako ili kukamilisha usahihi wa taarifa yako
Chanzo ni NGA Agro Climate Services
 
Mfumo mkubwa wa hali ya hewa angani unasababisha hewa kavu kushuka chini katika eneo kubwa barani Afrika.

Mfumo huu unafanya kazi kama kifuniko angani, kuzuia hewa ya joto na unyevu iliyo karibu na ardhi kupanda juu na kutengeneza mawingu ya mvua ya kawaida.

Matokeo yake, maeneo mengi yanashuhudia kusimama kwa mvua za msimu au kukatika kwake mapema kuliko ilivyotarajiwa.

Utabiri wa sasa unaonyesha kuwa hali hii ya ukavu ina uwezekano mkubwa wa kuendelea kwa wiki zijazo.

Hali hii imeunda mfumo mkubwa wa mzunguko wa hewa duniani ambao unavuta unyevu na nishati ya dhoruba mbali kabisa na Afrika.

Kwa Afrika Mashariki: Msimu muhimu wa "mvua za vuli" (au mvua fupi) unakabiliwa na ucheleweshaji mkubwa na kupungua kwa mvua, licha ya kuwepo kwa El-Niño. Hii inasababisha maeneo ya kilimo yaliyo ndani ya bara kukumbwa na ukame wa muda mrefu.
====≠=======================

AFRICA | RAINFALL SUPPRESSION ALERT

A large-scale atmospheric weather pattern is currently locking in dry, sinking air across a massive portion of Africa. This system is acting like a lid in the sky, preventing warm, moist air near the ground from rising to form normal rain clouds. As a result, many regions are experiencing a major pause or early cutoff in seasonal rains. Current forecasts show that this dry condition is highly likely to persist over the coming weeks.

High above the earth, a massive atmospheric wave, part of a global cycle known as the Madden-Julian Oscillation (MJO), couple with the strengthening El-Nino condition have set up a powerful zone of rising air and stormy weather over the Eastern Pacific Ocean, anchoring a massive global circulation pattern that draws moisture and storm energy completely away from Africa.

Closer to home, this global setup is triggering intense, localized weather dynamics that further starve the continent of rain:

Central Equatorial Indian Ocean Pull: The active phase of the MJO is currently supercharging heavy rainfall directly over the central Equatorial Indian Ocean. This massive oceanic storm zone acts like a powerful moisture vacuum, pulling vital water vapor away from the East African landmass and dumping it over open waters.

Gulf of Guinea Sinking Zone: As a direct reaction to surrounding storm activities, a medium-scale compensating zone of heavy, sinking air is forming squarely over the Gulf of Guinea region. This localized weight in the atmosphere suppresses typical monsoon flows, cutting off moisture before it can penetrate inland.

IMPACTS ON CONTINENTAL RAINS

The combined weight of these global and regional systems is severely altering typical rainfall across the continent:

West Africa and the Gulf of Guinea: The tail-end of the rainy season is being cut short abruptly, with rainfall levels expected to remain well below normal for the next several days.
East Africa: The crucial "Short Rains" season is facing severe delays and suppression despite an active El-Nino, leaving inland agricultural zones in extended dry spells.
The Congo Basin Exception: Despite the vast continental suppression, deep tropical rain and thunderstorm activities are still expected to continue across the Congo Basin and western parts of East-Africa. The region's dense rainforest environment generates enough localized moisture to break through the large-scale dry lid, maintaining its typical wet pattern.

Overall, West, East and Southern Africa are highly likely to get their rains suppressed from now through several days ahead until the dynamics of upper level convergence shift away or weaken.
Computer ilionyesha jua kali wao wakasema kinyume.
 
MAMLAKA YA HALI YA HEWA WAMEKANUSHA.WAMESEMA ELNINO BDO IKO PALEPALE
 
Elnino moja ya matokeo yake ni mvua nyingi ama ukame kwahiyo inawezkn moja likachukua sura mpya hapo
 
Fukuza kazi TMA wote, kuanzia pale HQ Ubungo Plaza.
 
Back
Top Bottom