#COVID19 Tahadhari ya Kirusi kipya kutokea Afrika Kusini

#COVID19 Tahadhari ya Kirusi kipya kutokea Afrika Kusini

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hadi pale kirusi cha Corona kitakapo tokomezwa inafahamika kuwa zitakuja variants hatari zaidi za kirusi hiki.

"Dhana kamili ya kuwa hakuna aliye salama hadi sote tuwe salama."

"Omicron" ndiyo iliyo variant mpya zaidi ikitokea Afrika Kusini.

Nchi kadhaa duniani zinachukua tahadhari kukizuia kuenea makwao ili kujiweka katika nafasi ya kukikabili kabla hakijaleta balaa.

Huo ndiyo ubinadamu unao tofautisha binadamu na nyani.

Tayari nchi kadhaa duniani zimesitisha usafiri wa anga baina yao na Afrika Kusini.

List of countries which have imposed travel ban in wake of Omicron outbreak

Sisi kulikoni? Au ni kazi kuendelea mpaka yatukute?
 
Corona again... hii omicron ndio itakuwa ya kufungia mwaka I think, then next year aje kirusi mwingine, ila huu mwaka umekaribia kwisha I never expected kwa ile hali iliyokuwepo miezi ile ya mwanzoni.
 
Pamoja na yote ingetufaa zaidi kwa sasa kuchukua tahadhari nao
Wewe jamaa unaipenda sana Corona, bahati mbaya sana haikupendi vinginevyo ulitakiwa uwe umekufa kwa CORONA. Hata hivyo inaonekana huna mishipa ya aibu, kwa uliyokuwa unayaombea yatokee nchini hadi ukiombea tuwe LOCKDOWN tangu April 2020.. kwa mtu mwenye mshipa wa aibu na akili timamu asingeendelea kuanzisha thread za kuhusu Corona. Huwa ninahisi una matatizo ya akili.
 
Back
Top Bottom