Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mdauKuna Marafiki na kuna Wadau sasa usiwachanganye hao aina mbili za viumbe Mkuu.
Marafiki utanyanyuka nao pale inapobidi utaanguka nao pia
Ila
Wadau wao wapo tu iwe kwa maslahi yao au yako wao wapo tu.
Wewe pia inatakiwa uwe rafiki wa watu fulani na Mdau wa watu fulani.