Mjasiriamali M
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 142
- 69
Habari za Leo ndugu wajasiriamali, Kwa uchache naomba niseme kuhusu wimbi la matapeli walioibuka katika Mitandao na kujifanya wao ni Taasisi za Mikopo na Nyingine hufika mbali hadi kujihusha na Serikali au Taasisi nyeti za Kiserikali katika kufanikisha azma yao chafu ya utapeli.
Sasa hivi wamebuni njia nyingine ya kujihusisha na Akaunti feki za watu maarufu kisha kujipigia debe utapeli wao huo. Leo Wamajifanya Wema Sepetu kupitia FaceBook, Sijui Kesho watajifanya Nani, Tafadhali Tuwe Makini.
Maelezo na Habari kuhusu Utapeli huo ipo Hapa:- Wema Feki Atapeli watu Face Book, Angalia Ushahidi hapa na Kaa Chonjo ~ Tanzania Gossiper
Shukrani.