Mamlaka kutoa taarifa za kutisha na kudai kuna uhakika wa kutokea kwa maafa, hivyo kuwataka wananchi kuondoka kwenye makazi yao ni jambo serious sana na halipaswi kutolewa pasipo kujiridhisha.
Ofisi ya waziri mkuu imetoa tahadhari kwa wakazi wa mikoa yote ya pembezoni mwa bahari ya Hindi kuchukua tahadhari juu ya uwezekano wa uhakika wa Tsunami kutokea mida ya saa 10 jioni.
Ndipo vyombo vya usalama vikawataka wakazi wa Msasani kuondoka kwenye makazi yao. Lkn mpk muda huu hakuna hata hata kunguni aliyepeperushwa na upepo. Waliotoa taarifa hii iliyozua taharuki wachukuriwe hatua kali.
Hapa kuna tsunami ya uhakika. Chumba changu kimejaa samaki!
Tsunami preparedness exercise inaitwa tsunami. Ni kama kuziita war games "vita".
(Labda ndio kwa ajili hii nimeamka leo asubuhi nimesikia sauti angani inaniita "Waziri Mkuu")