Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Ipo sema mdogo mdogoHuwa nawaza jambo moja. Kama nchi huwa tuna mipango ipi endelevu ya kupanda miti na kutengeneza na kuendeleza misitu kwa ajili ya kureplace miti inayochomwa kila siku kutengeneza MKAA na pia kuhifadhi mazingira kwa kizazi hiki na kijacho.
Tufafanulie kidogo sisi wananchi wa kawaida tuweza kuelewa na hata kushiriki katika utekelezaji inapobidi.Ipo sema mdogo mdogo
Mfano mlima kilimanjaro kunamradi wa kushiriki kupanda miti kila mwaka na wilayani kuna siku za kuhifadhi uoto wa asili kwa kupanda miti...Tufafanulie kidogo sisi wananchi wa kawaida tuweza kuelewa na hata kushiriki katika utekelezaji inapobidi.
Ukute apo kwako umepanda nguzo za umeme, fensi na vijiti vyenye kamba za kuanikia nguo halafu unalaumu serikali [emoji41]Huwa nawaza jambo moja. Kama nchi huwa tuna mipango ipi endelevu ya kupanda miti na kutengeneza na kuendeleza misitu kwa ajili ya kureplace miti inayochomwa kila siku kutengeneza MKAA na pia kuhifadhi mazingira kwa kizazi hiki na kijacho.
Pamoja na miti kuchomwa.Bado Tanzania's a INA misitu mikubwa kweli.Tembra katavi,tabora,kigoma,mbeya,Moro nk.misitu bado mingi sana tens iliohifadhiwa na isiohifadhiw.Huwa nawaza jambo moja. Kama nchi huwa tuna mipango ipi endelevu ya kupanda miti na kutengeneza na kuendeleza misitu kwa ajili ya kureplace miti inayochomwa kila siku kutengeneza MKAA na pia kuhifadhi mazingira kwa kizazi hiki na kijacho.
Hapana. Nyumbani kwangu nina miti zaidi ya 20, miti ya kawaida na ya matunda. Ondoa Hofu. Natekeleza kwa vitendoπUkute apo kwako umepanda nguzo za umeme, fensi na vijiti vyenye kamba za kuanikia nguo halafu unalaumu serikali [emoji41]
π π π π πUkute apo kwako umepanda nguzo za umeme, fensi na vijiti vyenye kamba za kuanikia nguo halafu unalaumu serikali [emoji41]
Sikubaliani sana na wewe. Hali ya mapori na misitu kwa Mkoa wa Morogoro ni tofauti na zamani.... Mapori yanateketea kwa shughuli za kibinadamu.Pamoja na miti kuchomwa.Bado Tanzania's a INA misitu mikubwa kweli.Tembra katavi,tabora,kigoma,mbeya,Moro nk.misitu bado mingi sana tens iliohifadhiwa na isiohifadhiw.
Mwka Jana nilitaka kuuziwa heka 50 zote ni pori nukaenda uziwa 20 heka sehemu nyingibe Nazo zote ni pori najiandaa kuzifyeka niliweke mazao.
Upungu was wa view a huwa hautokei Tz yote bali janda Fulani, kuna mikoa ukikaa kola mwaka unashuhudia mvua.