Tahadhari ya usalama Kilimanjaro Bus

Tahadhari ya usalama Kilimanjaro Bus

BIN BOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,013
Reaction score
407
Kilimanjaro Express; huu sio mkanda wa suruali
IMG20220813083621.jpg
IMG20220813083853.jpg
 
Nimesema sio mkanda wa suruali nikimaanisha hakuna usalama. Kipi huelewi. Kweli fikra zenu zipo chini namna hiyo?
Andika vizuri ueleweke,siyo wote wenye akili ya kuelewa wewe utakavyo,acha pupa,andika ueleweke
 
Hujaeleweka mkuu. huo mkanda umefanya nini. Wengine tupo nyamandele hatufahamu basi lilivyo nje wala ndani
Kusoma hujui na picha huoni. Kizazi cha hasara hiki
 
Kwahy mmeachana na mambo ya gari mmehamia kwenye ubora wa akili ya mtoa mada 😂
 
Toa taarifa kwa mhudumu inatosha na sio kuzua taharuki mtandaoni!![emoji849]
 
SASA BAS LINA WAHUDUMU BADALA UWAMBIE UNAKUJA LALAMIKA JF SASA UNATAKA SISI TUFANYE NINI KIONGOZI??
 
Shuka na upande basi jingine na pia toa report police. Wewe unataka sisi tufanye nini????
 
Jf inazidi kuporomoka siku hadi siku.

Yaani jamaa kutoa kero yake humu watu wanatokwa povu bila sababu za msingi.

Anawapa tahadhari nyie ndondocha hata siku nyingine usipande basi kama hilo ama lah hakikisha usalama wako kabla hujalipa nauli ama kuamua kusafiri na basi.
 
Back
Top Bottom