Tahadhari ya usalama Kilimanjaro Bus

Tahadhari ya usalama Kilimanjaro Bus

Jf inazidi kuporomoka siku hadi siku.

Yaani jamaa kutoa kero yake humu watu wanatokwa povu bila sababu za msingi.

Anawapa tahadhari nyie ndondocha hata siku nyingine usipande basi kama hilo ama lah hakikisha usalama wako kabla hujalipa nauli ama kuamua kusafiri na basi.
Huo mkanda sio kigezo cha kutokuwa salama. Umekagua tyres? Engine? Driver? Barabara?
Ni kushauri kampuni ibadili kwa ajili ya kulinda brand maana hapo haiwez funguka hata kwa ajali gan
 
Huo mkanda sio kigezo cha kutokuwa salama. Umekagua tyres? Engine? Driver? Barabara?
Ni kushauri kampuni ibadili kwa ajili ya kulinda brand maana hapo haiwez funguka hata kwa ajali gan
Mkanda ni kimojawapo ndgu yangu.

Usiudharau huohuo unaweza kuokoa maisha ya abiria.
 
Watu wa mikoani Wana shida sana.

Mleta uzi utashambuliwa Sana na Wachaga badala ya kuangalia hoja ya kilicholetwa. Wachaga na magari yao ya Kilimanjaro express,Machame n.k hawataki yakosolewe.

Ni sawa na watu wa Mbeya- Wanyakyusa,Wasafwa n.k na lile gari lao la Sauli. Wanalisifia kwa mwendokasi hawajui ii jeneza linalotembea. Juzi mshindani wake New force limepinduka Morogoro na dereva wake kufariki. Tuzingatie usalama na huduma bora badala ya ushabiki.
 
Hiyo kampuni ya Kilimanjaro wanaweza kuamua kukuburuta mahakamani na wakakufunga au kukufilisi wewe ukoo wenu wote maana huwezi kuthibitisha huo ujinga uliepost hapo
Pimbi wewe! Picha ni genuine nimeipiga mwenyewe. Waambie wathubutu nitume na video
 
Back
Top Bottom