Tahadhari za kuchukua uingiapo nyumba za wageni

Tahadhari za kuchukua uingiapo nyumba za wageni

Kama mlikua wawili tu eneo husika, alipoacha mlango wazi alikutaarifu?

Na kwa nini aache mlango wazi wakati hapo ni guest House?
hakunitaarifu, kwa kawaida huwa hatuachi mlango wazi unapotoka, nadhani yule alikuwa mwizi tu japo alionekana ni mtu mzima mwenye afya njema na akili timamu
 
Mimi nikifika guest na Binti jina naandika Dogoli kinyamkela , sehemu niliyotoka njombe, SI ndio kwenye watu wengi wanaopenda ngono zembe.
Nyambafu we mbwanga kulonga ufila ujue,acha kupumulia upepo ujue,ilo jina la wazee Sasa jitofole kuliandika wakukamulie mayai ya bundi kwenye kishundu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom