Tahadharii

frank mkweli

Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
92
Reaction score
12
da tungekuwa tunakutana jukwaan physical ingekuwa noma sana, watu wangekuwa wanaondoka na ngeu, wamezimia,wanalia... Mtu akiomba ushaur tumpe mawazo ya kumjenga na sio kumkatisha tamaa
 
yah yan tungekuwa tunaweka identity na namb za simu au kuonana live basi tungekatana MAPANGA sana.
Hasa oil sumu angekuwa ashapgwa zaman.
 
Last edited by a moderator:
da tungekuwa tunakutana jukwaan physical ingekuwa noma sana, watu wangekuwa wanaondoka na ngeu, wamezimia,wanalia... Mtu akiomba ushaur tumpe mawazo ya kumjenga na sio kumkatisha tamaa

nahisi hili ni kama lalamiko peleka kulee jukwaa la complaints
 
oil sumu n mdada jamani hebu muacheni jamani nazani mnawafahamu madada zetu hawa sometym wana matatzo binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…