frank mkweli
Member
- Aug 9, 2013
- 92
- 12
da tungekuwa tunakutana jukwaan physical ingekuwa noma sana, watu wangekuwa wanaondoka na ngeu, wamezimia,wanalia... Mtu akiomba ushaur tumpe mawazo ya kumjenga na sio kumkatisha tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
da tungekuwa tunakutana jukwaan physical ingekuwa noma sana, watu wangekuwa wanaondoka na ngeu, wamezimia,wanalia... Mtu akiomba ushaur tumpe mawazo ya kumjenga na sio kumkatisha tamaa
Dah oil sumu ningempa maziwa awe oil safi
oil sumu n mdada jamani hebu muacheni jamani nazani mnawafahamu madada zetu hawa sometym wana matatzo binafsi
Mpigamsuli nae angeshatolewa meno yote