TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia

Hili swala la relaxation music nalo limekuwa tatizo kwa wengi wetu, inafikia mahali kama hakuna music mtu huwezi kumeditate
 
Hili swala la relaxation music nalo limekuwa tatizo kwa wengi wetu, inafikia mahali kama hakuna music mtu huwezi kumeditate

Yeah. Tangu New Age movement na hippies kueneza culture ya meditation to the west, music imekuwa inatumika sana na watu wanauza CDs za relaxation music. Lakini sio kitu cha kutumia kwenye meditation maana utajenga mazoea ya kuwa tegemezi.

Meditation inatakiwa usiwe tegemezi. Uwe na uwezo wa kukaa popote bila chochote na kuweza kuwa mindful na makini wakati wote.

Lakini wanaojifunza meditation kwenye monasteries wanafuata Njia za tangu zamani. Nadhani ndio njia sahihi.
 
Naona nimeshakuwa tegemezi wa ganja maana nikiivuta sitamani kitu kingine tofauti na meditation.
Lakini nisipovuta nikiingia kumeditate nashindwa kabisa kuyacontrol mawazo yangu
 
Duh! yani kwangu hii ngoma itakuwa kasheshe kukaa bila kufikiri..! hapo nitakuwa nimelala tena usingizi mzito,wengine tunavichwa vya aina yake mchana yenyewe kulala mbinde hata ninywe pirton!
 
Duh! yani kwangu hii ngoma itakuwa kasheshe kukaa bila kufikiri..! hapo nitakuwa nimelala tena usingizi mzito,wengine tunavichwa vya aina yake mchana yenyewe kulala mbinde hata ninywe pirton!
Tatizo umeanza kutengeneza picha zako kwenye kitu ambacho wala hujakifanya ili uone itakuwaje
 
Tatizo umeanza kutengeneza picha zako kwenye kitu ambacho wala hujakifanya ili uone itakuwaje
kwani hili jambo linafanyikaje ili kulitekeleza kwa 100%..?
 
Naomba uni PM ili unielekeze vitu kadhaa kuhusu hii kitu mzee
 
....mi nikifika dk ya 30 concentration inakata automatically;ila niko interested na hapo kwenye kuongeza uwezo wa sheria ya usumaku/mvuto!
..tupe darsa mkuu Apollo!
 
Naomba uni PM ili unielekeze vitu kadhaa kuhusu hii kitu mzee

Nitumie PM kama una maswali zaidi au unaweza kupost hapa ili kama mwenye maswali sawa na wewe ajifunze zaidi.

Karibu sana na kuwa huru.
 
....mi nikifika dk ya 30 concentration inakata automatically;ila niko interested na hapo kwenye kuongeza uwezo wa sheria ya usumaku/mvuto!
..tupe darsa mkuu Apollo!

Vyema.

Endelea kufanya kwa 20 - 30 minutes kila siku. Ni dakika tosha kwa siku.

Kwenye sheria ya usumaku inasaidia
Kuwa positive
Unaweza kuongoza mawazo yako
Unakuwa connected na Sub conscious mind
Unakuwa na negative attribute ndogo ambazo zinaharibu power of mind
Unakuwa na concentration nzuri
Kuongeza wisdom
Kupunguza tamaa na mazoea yasiyo ya muhimu
Unakuwa connected na inner source na ulimwengu. Na faida nyingi ambazo taratibu utaziona.
 
Beloved Apollo !!
Nianzaje hiyo "ta3amuli" plz nipe step moja mbili tatu....!!!
 
Beloved Apollo !!
Nianzaje hiyo "ta3amuli" plz nipe step moja mbili tatu....!!!

Habari Zamiluni.

Haina haja ya kufanya aina nyingine ya meditation. Breathing meditation inatosha. Tazama hiyo post kuna introduction nzuri.

Karibu baada kusoma uje na swali kama utakuwa nalo. Just practice. Ndio njia sahihi kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…