Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
Aisee mbona tunachanyana na haya madude
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...wanawake tuna kazi aisee!Nasikia pia inasaidia kupiga miti mademu wa kila aina bila kutongoza.
Nasikia kwa lucid dream unaweza hata kumpiga busu Beyoncé, rejea uzi wa rakims
nimekutag tayariMkuu unaweza kuntag huo uzi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] wasi wasi wangu ni kama hukuachia kijambo au udenda maana kuangaliwa sana kuna mistake ulifanya.Nilikuwa kama wewe miaka miwili iliopita. Nadhani hakuna thread yoyote inayohusu meditation ambayo sikuipitia, tena kwa umakini mkubwa! lakini kila nilipojaribu, wapi niliambulia patupu yaani ilikua ni kukesha macho tuu bila hata kuhisi chochote kile. Nikbmua kuacha kabisaaa. Sasa, siku moja niliamka usiku, at midnight nikajiweka vizuri kwa ajiri ya kufanya meditation (taamuli) nilijihisi na imani sana usiku huo. Nikafumba macho, hapo hapo nikaanza kuona mabadiliko ya ajabu, nilihisi kuna mtu amekaa pembeni yangu, nikawa najikaza japo niliogopa sana, ila sikufumbua macho, mara nahisi makelele mengi, yaani sauti na miungulumo ya ajabu ajabu, mara naona nyota nyingiii na mandhali kama nipo juu angani katikati ya mawe makubwa ajabu, nyota, na mauzauza yasiovumilika, ghafla mwanga mkali ukanipiga machoni, nikashinda kuvumilia nikafumbua macho, uku nikihema kwa nguvu na woga usio kifani, cha ajabu sasa kumbe haikuwa usiku wala nini, nilikuwa nimepitiwa tu na usingizi ndani ya daladala,,abilia wote mimacho kwang
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] weee jamaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] wasi wasi wangu ni kama hukuachia kijambo au udenda maana kuangaliwa sana kuna mistake ulifanya.
Hapana mkuu, nilishtuka sana, pia bado nilikuwa nahisi nipo ndani ya mauza uza.[emoji3] [emoji3] [emoji3] wasi wasi wangu ni kama hukuachia kijambo au udenda maana kuangaliwa sana kuna mistake ulifanya.