wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Vizuri Asante umenikumbusha mama Terry
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Like attracts like. What you think you become, you create your own reality. Unaambiwa just believe in whatever you want so much that it has no choice but to materialize. Yaani hupaswi kuumiza kichwa vitakujaje ww amini unacho. Thought is a reality that hasn't manifested into real thing! If we project our thoughts they become material things!!![emoji4]
Thanks but mengi nimejifunza from your posts nguvu ya akili[emoji4] ...be blessed abundantly.Rooted words in a deep truth.
Thanks for your brilliant comment.
Inaweza kuwa kweli but not that simple. Najua umesoma vitabu mbalimbali lakini tambua kuwa it is not that simple, there is a price to pay. Jifungie ndani full time kwa mwaka mzima ukifanya meditation bila kwenda kufanya kazi tuone kama hata chakula utapata. Lau hayo unayosema ni kweli basi asiyeamini mauti maana yake hata kufa! Apart from believing but ACTION is must! Naruadia tena Action is must!Like attracts like. What you think you become, you create your own reality. Unaambiwa just believe in whatever you want so much that it has no choice but to materialize. Yaani hupaswi kuumiza kichwa vitakujaje ww amini unacho. Thought is a reality that hasn't manifested into real thing! If we project our thoughts they become material things!!![emoji4]
Kikubwa hakuna meditation iliyo mbaya ila meditation yoyote inafanywa kwa kusudio au dhamira maalumu kwahio zinatafautiana kulingana na lengo pamoja na object ya meditation mfano kuna meditation ya pumzi mpaka meditation ya nuru na sauti nadhifuNatumai wanna jukwaa mpo poa na mnazid kupambana na changamoto za" Hapa kazi Tu"
Bila kutumia maneno zaidi, Nakiri kuwa mfwatiliaji mzuri wa mada za members wa jf hasa za akina, mshana, Lara 1, mzizi mkavu, galadudu, anael, na wengine wengi...
Katika uzi wa zaman kidogo baadhi walifafanua kiundani sana kuhusu Meditation na mimi nikawa mwanafunzi mzuri wa kusoma thread zao kisha nafanya Practice.
Ukweli nilianza kuhisi utofauti katika mfumo wangu wa maisha, japo mwanzo nilikua napata illusion" taswira sizizoeleweka hata kama sifanyi meditation" kuna picha fulan ya jicho ilikua inanijia ndani ya ubongo wangu kwa siku mbili.
Hali hiyo ilitoweka nilipunguza muda wa meditation kutoka lisaa moja kwa siku mpaka nusu saa, ilifika kipindi nakuwa napenda sana kufanya meditation na kusikiliza audio za "binural beats" Ni ndani ya kipind kifupi sana lakini mipango yangu ya kimaisha na maendeleo ikaanza kukaa vizuri, nikaanza kupendwa sana na jamii, nikitaman kitu nakipata ama nikiwaza basi inayokea hivo hivyo nikaanza kupata uoga na kujihisi nimeanza kupata power za tofauti.
Siku zilivozid sababu ya kulewa na kawaida ukinywa pombe hupaswi kufanya Meditation basi nikawa navusha siku 2 ndio nafanya, ikaenda suku 3 wiki mara moja had mwez mara moja, au 3 mambo yangu hayakuwa kama mwanzoni sijui kwa nini??? Kuna wakat ukizama kwa meditation unaskia furaha sana sijui kama nin labda niseme unapata aman ya akili zaidi. Sasa naona akili yangu inaanza kupenda tena kuanza kufanya meditation" kuwa huru" naomba members ambao wamewah kufanya meditation kama inavotakikana wanielekeze
2. Naomba kujua kama kuna meditation iliyo mbaya
3. Mafanikio waliyoyapata baada ya meditation na hasara pia kama zipo
4. Kama kuna madhara ya kuacha au kutokufanya kwa wakat ama kilasiku
5. Je kunautofaut kwa Mtu anaefanya Mara chache mf . Mara moja au 2 kwa wiki na anaefanya kila Siku.
Nisiwachoshe kwa sasa naomba niishie Hapo.
Ndugu endelea kupractice tu maana meditation ina effect mbali mbali kwa watu tofauti kulingana na subconscious mind zetu zilivyo haribiwa kikubwa meditation ina clean takataka ambazo tumeziweka kwenye mind zetuMimi ndio nimeanza sikuza karibuni sana bado sija izoelea na bado sijaweza kuifanya vyema.Nakila nikifanya huwa nina ona maruweruwe, na pia kizunguzungu. Paka sasa sija ona mafanikio kwa macho yangu zaidi yaku soma kwenye mitandao. Natumaini uzi wako uta leta majibu yatakayo nifaa namimi. Tuwasubirie wadau.
Hapana siyo against na mungu kabisa tena na kwakishia meditation inakutransform na kukufanya uwe a Godly person kwa vitendo siyo kwa kuongea maana km utafanya jambo lolote baya kwa ndugu yako au kwa nafsi yako basi huwezi kuwa comfortable km una meditateHivi hizo meditation sio against na Mungu kweli? mshana jr ni mkweli unaweza kusema kitu hapa
Ndugu keep on practicing meditation can do more than thathio kitu ni nzuri sana kuna kipindi nilifululiza kufanya aisee mpaka nikaogopa coz kuna vitu vingi unaweza kuvicontro kupitia hio kitu ila kwa sasa nimeacha kutokana na mazingira niliopo
Kwa kutumia akili ni ngumu kuilewa hata ukisoma vitabu vipi huwezi kuelewa bila ku practice hii ni practical siyo theoryHii kitu mpaka leo nashindwa elewa ni nini hasa. Mara kujifungia ndani kukaa kimya, mara kutoa mawazo kichwani mwako hata sielewagi.
Dah ndugu hiyo stage uliyo kuwa umefikia ni nzur sanaaa kujiisi uko empty ni realization kubwa sana keep it upkwangu mm nilifanya Sana mpaka ukafika muda nikawa najihisi Niko empty Fulani HV sina hata feeling Kama zamani nikitukanwa nilikuwa napanda na hasira Sana ila nilivyofanya meditation MTU akinitukana sihisi kitu chochote kile dah mpaka nikaogopa nikaacha ila nimeanza tena upya
Ndugu usiwe ignorant kiasi hicho ku conclude vitu usivyo vijua hawa wanaozungumza wamefanya wewe unaonekana unaijua meditation sana kuliko mtu anaye practice wakt wewe hupractice anyway meditation is not about concepts or facts bt is action and practicesInaweza kuwa kweli but not that simple. Najua umesoma vitabu mbalimbali lakini tambua kuwa it is not that simple, there is a price to pay. Jifungie ndani full time kwa mwaka mzima ukifanya meditation bila kwenda kufanya kazi tuone kama hata chakula utapata. Lau hayo unayosema ni kweli basi asiyeamini mauti maana yake hata kufa! Apart from believing but ACTION is must! Naruadia tena Action is must!
Halafu tuwe makini mafunzo mengi ya meditation yanahusisha imani za kishetani, tuwe makini tusijekuwa miongoni mwa walioasi. Be careful, an empty mind can be a door for evil spirits.
Wote ambao tunaanza kufanya kwa mara ya kwanza mawazo yanaingia kati kikumba usiweke akili yako kwenye mawazo lkn zingatia pumz na umakini wako uwe kwenye pumz inavyotoka na kuingia wazo lolote likija let it go na urejeshe umakini wako kwenye pumzitatizo nikitaka kufanya mawazo mengine yanaingilia kati yaani hata sijafaulu kufanya japo natamani
Well said mkuuKwa wale wanaotaka kujua zaidi juu ya meditation na namna yakufanya ipasavyo mnaweza mka Google na mtapata kufahamu mengi zaidi, kwa walio na wasiwasi kwamba lmda kuna nguvu za giza jibu ni hapana na kikubwa hapo ni Ile hali ya wewe kuwa katika uhusiano wa deep kifikra na mother nature ambayo ni dunia na mazingira yake . Sasa kwa wanaopata tabu ktk kuona maruerue nikwasanabu mfumo wetu wakimaisha umetuweka juu juu yaani hamna mda wa kujitafakari kiundani na shida hasa Ile hali ya ukimya na kujisikiliza vijana wengi wamezoea kelele ndo maana ata akiwa peke yake utamkuta na earphone anasikiliza miziki soo no time for Self silent .Always learn to be with nature and learn about nature u will feel da change