leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
lets practise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tahajud sio jihad ila ni kisimamo au kukaa kwa kipindi kirefu kumuomba allah hasa ktk mwez wa ramadhan kumi la mwisho huwa kuna mkesha wa kusali na husimama kwa kipindi kirefu zaidi tofauti na kusali kawaidaMtambuzi
Kwanza kabisa sikubaliani na wewe kuwa neno tahajudi limetokana na neno "meditation". Labda ungeandika kuwa neno tahajudi maana yake Kingereza ni "meditation" hapo ningejaribu kukuelewa ingawa neno "meditation" halimaanishi maana halisi ya neno tahajudi.
Neno tahajudi ni neno la lugha ya Kiarabu na hutamkwa "tahajud" na si tahajudi.
Neno tahajud linatokana na neno jihad au kujitahidi.
Hiyo ni kwa kifupi tu. Kwa kirefu zaidi nikipata wasaa na nikiwa kwenye kompyuta nnaweza kuliezea zaidi, lakini kwa sasa mniwie radhi kwani nnatumia simu kuandika.
Tahajud sio jihad ila ni kisimamo au kukaa kwa kipindi kirefu kumuomba allah hasa ktk mwez wa ramadhan kumi la mwisho huwa kuna mkesha wa kusali na husimama kwa kipindi kirefu zaidi tofauti na kusali kawaida
Hapo kwene point ya kuweza ku control mambo yaliyopo nje ya uwezo wako nakusapport sana mkuu. Mim nina nakumbuka kulikuwa kuna viwanja vunauzwa nikawa nimekwenda na mama mmoja bahati nzuri tukakuta vimebakia viwanja2 tu basi ikabidi tukubaliane kila mtu atachukua kiwanja kimoja tukapanga siku ya kukutana na muuzaji kwa ajili ya malipo na kuandikishana baada ya kurud nyumbani nikawa nawaza mwenyewe kwamba ingetokea nikapata vile viwanja vyote 2 ningepiga bingo lakini huku najua kwamba haitowezekana hiko kipind nilikuwa nafanya sana meditation. Cha kushangaza ilipofika Siku ya kwenda kufanya malipo yule mama akanipigia simu asubuh na kuniambia yeye hatochukua tena bali nivichukue mimi moyoni nikafurah lakini nikamuuliza kulikoni akanijibu kuwa amebadilisha mawazo na angependa nivichukue tu mim nikamwambia mama ni kweli viwanja vipo sehemu nzuri ila sikua nimejiandaa kifeza kuvinunua vyote 2. Akanijibu usijali nitakukopesha fedha ya kununulia, sikuamini na sijui kwa nin alibadili mawazo.hio kitu ni nzuri sana kuna kipindi nilifululiza kufanya aisee mpaka nikaogopa coz kuna vitu vingi unaweza kuvicontro kupitia hio kitu ila kwa sasa nimeacha kutokana na mazingira niliopo
Like attracts like. What you think you become, you create your own reality. Unaambiwa just believe in whatever you want so much that it has no choice but to materialize. Yaani hupaswi kuumiza kichwa vitakujaje ww amini unacho. Thought is a reality that hasn't manifested into real thing! If we project our thoughts they become material things!!![emoji4]Hapo kwene point ya kuweza ku control mambo yaliyopo nje ya uwezo wako nakusapport sana mkuu. Mim nina nakumbuka kulikuwa kuna viwanja vunauzwa nikawa nimekwenda na mama mmoja bahati nzuri tukakuta vimebakia viwanja2 tu basi ikabidi tukubaliane kila mtu atachukua kiwanja kimoja tukapanga siku ya kukutana na muuzaji kwa ajili ya malipo na kuandikishana baada ya kurud nyumbani nikawa nawaza mwenyewe kwamba ingetokea nikapata vile viwanja vyote 2 ningepiga bingo lakini huku najua kwamba haitowezekana hiko kipind nilikuwa nafanya sana meditation. Cha kushangaza ilipofika Siku ya kwenda kufanya malipo yule mama akanipigia simu asubuh na kuniambia yeye hatochukua tena bali nivichukue mimi moyoni nikafurah lakini nikamuuliza kulikoni akanijibu kuwa amebadilisha mawazo na angependa nivichukue tu mim nikamwambia mama ni kweli viwanja vipo sehemu nzuri ila sikua nimejiandaa kifeza kuvinunua vyote 2. Akanijibu usijali nitakukopesha fedha ya kununulia, sikuamini na sijui kwa nin alibadili mawazo.
2. Kuna siku ofisini kwetu kulikuwa kunahitajika members 3 waende field kwa ajili ya kukusanya data, mim jina langu halikuako kwenye list baada ya kujitambua kwamba nina power za tofauti niliporud nyumban nikafanya guided meditation zile za kudownload binafsi nilikua napenda kuchanganya meditation ya kuvuta pumzi pamoja na iyo ya sauti " guided one" asubuh pia nikafanya ilipofika majira ya sa 3 asubuh wale members 3 wanaitwa kwa ajili ya kupokea check " field allowance" nikashangaa kuona napigiwa simu na secretary na kuambiwa boss kaagiza nahitajika nikachukue hundi yangu na napaswa kujianda kwenda field kesho yake. Naskitika kuacha meditation bila kujijua,
Pia katika kufanya meditation kuna state ambazo nazifikiaga mara chache mfano katika siku 7 za kufanya meditation mara 2 au 3 ndio nafikia iyo state ya kutengana na dunia kimawazo " free mind" nazama deep ulimwengu mwingine: Hapo huwa sielewi vizuri sababu naweza Fanya meditation ndan ya dakika 5 nikawa tayar nimezama deeply huwa napenda sana kufikia iyo state unapata furaha ambayo haipo duniani " total free mind & stress zone" kabla sijafikia iyo hali " state" huwa naskia kitu kama mtetemo " vibration" kutokea ncha ya kidole gumba mguuni kupanda juu unapofika katika paji la uso macho huona kama Giza " tambua hapo tayari nakua nimefumba macho" baada ya hapo ndio nazama/ potea ulimwengu wa mawazo