REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Nimepigiwa simi na dogo anatoka Gongo la Mboto kuja mbagala anasema uwanja wa ndege watu wanakimbia ovyo wengine wameanguka hajui Kuna nini mliopo karibu tujuzeni.
===
Kutoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (Terminal 2), Dar es salaam muda huu imetokea taharuki na Watu wote wakiwemo abiria wamekimbilia pembeni, Magari ya Zimamoto, Ambulance na Magari ya Polisi yamefika huku baadhi ya Watu wakilazimika kubebwa na machela, Mamlaka zimesema hayo ni mazoezi ya kujiweka tayari endapo majanga yatatokea na kwamba kwa leo hakuna tukio baya lililotokea.
Chanzo: Millard Ayo