Taharuki gani imetokea uwanja wa ndege wa kimataifa JK?

Taharuki gani imetokea uwanja wa ndege wa kimataifa JK?

Mpaka sasa naona hakuna aliyeweza kutoa taarifa kamili zaidi ya speculation tupu. Imebaki kila mtu anasema ninfire drill na maongezi kibao.

Nani yupo hapo airport au ampigie mtubwa airport atuambie what exactly is happening na sio kuishia kutupatia mere speculation.

Wengine tupo Chato jamani
 
Nimepigiwa sm na dogo anatoka gongo la mboto kuja mbagala anasema uwanja wa ndege watu wanakimbia ovyo wengine wameanguka ajui Kuna nini mliopo karibu tujuzeni
Mwambie ashuke hapo kipawa aulize vizuri
 
Nipo hapa Airport kilichotokea ni kuwa nikuwa wahudumu wa bar ndani ya kituo cha redio wamepiga mpira wa Obama juu ya panya kagawa aliejua kudonoa uzi wa bure
 
Mmh Sisi tulioko buseresere tunaambiwa eti ndio ROYOTUA imeanza
 
Back
Top Bottom