Taharuki Gulu City Baada ya Askari Kumpiga na Kumzuia Bobi Wine Kuingia Kwenye Kampeni

Taharuki Gulu City Baada ya Askari Kumpiga na Kumzuia Bobi Wine Kuingia Kwenye Kampeni

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Yani nchi za Afrika zinatabia zakufanana sana! Sasa ukitizama anachopitia Boni wine ndicho wanachopitia wanasiasa wavyama vya upinzani Tanzania. Leo Lissu yupo gerezani kwa kupewa kesi ya Uhaini, so bad Africa
================
Taharuki ilitanda jijini Gulu baada ya maafisa wa jeshi la Uganda (UPDF) kumzuia kwa nguvu mgombea urais wa NUP, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine), kuingia kwenye eneo la kampeni na kuanza kuwapiga wafuasi wake waliokuwa wakimsindikiza.

Katika tukio lililorekodiwa na mashahidi, askari walionekana wakitumia virungu na mateke, huku wafuasi wa Bobi Wine wakijitupa mbele yake kumkinga dhidi ya mashambulizi. Muda wote huo, walinzi wake walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi walijaribu bila mafanikio kuwazuia askari kuendelea na vurugu.

Kizuizi hicho kimetafsiriwa kama kuongezeka kwa ukandamizaji katika kipindi cha kampeni, huku makundi ya haki za binadamu yakionya juu ya mazingira hatarishi ya uchaguzi unaokuja.

Wangechoma vituo vya mafuta ,miundombinu na kupora ndio ungejua hujui.Hakuna Serikali inavumilia anarchy.
 
VItuo vya mwendokasi,vituo vya mafuta ,maduka na migawaha ya watu binafsi pia iliwapiga mka react?
Sababu ya kuvichoma hivo vituo, yapata saa nne asubuhi Kuna dogo alipigwa chuma ilimsikitisha Kila mtu, hapo hapa kua na fujo yoyote, na hio ndo ILIKUA chanzo Cha machafuko, laumu polisi kwa kulianzisha
 
Sababu ya kijinga sana.Kwanini unasema kuhusu vituo vya Polisi tu?Mwendokasi,Vituo vya mafuta haswa vya Lake Oil na maduka na migahawa ya watu wasiohusika yalichomwa moto bure bila sababu halafu unataka anarchy isithibitiwe?
 
Maelezo ya kijinga sana, sababu ya hivo vituo kichomwa ILIKUA kupeleka ujumbe kwamba utekji na ufisadi hatutakiwi sisi sote ni binadamu, Sasa basi nyie wapambe ccm ngoja wachome vitu vyenu ili nanyi msikie maumivu wanayo sikia wazazi pale wanapo poteza wapendwa wao umesikia wewe mbona mi duka langu halijachomwa hao ni pro ccm, maumivu uliyo yasikia ndo mama yake polepole ANAPITIA tena zaidi
 
Back
Top Bottom