Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Kupiga watu hivo ni sawa ila wao waki react kwa kuchoma vituo vyenu ni wahaini kmkeWangechoma vituo vya mafuta ,miundombinu na kupora ndio ungejua hujui.Hakuna Serikali inavumilia anarchy.
VItuo vya mwendokasi,vituo vya mafuta ,maduka na migawaha ya watu binafsi pia iliwapiga mka react?Kupiga watu hivo ni sawa ila wao waki react kwa kuchoma vituo vyenu ni wahaini kmke
Sababu ya kuvichoma hivo vituo, yapata saa nne asubuhi Kuna dogo alipigwa chuma ilimsikitisha Kila mtu, hapo hapa kua na fujo yoyote, na hio ndo ILIKUA chanzo Cha machafuko, laumu polisi kwa kulianzishaVItuo vya mwendokasi,vituo vya mafuta ,maduka na migawaha ya watu binafsi pia iliwapiga mka react?
Sababu ya kijinga sana.Kwanini unasema kuhusu vituo vya Polisi tu?Mwendokasi,Vituo vya mafuta haswa vya Lake Oil na maduka na migahawa ya watu wasiohusika yalichomwa moto bure bila sababu halafu unataka anarchy isithibitiwe?Sababu ya kuvichoma hivo vituo, yapata saa nne asubuhi Kuna dogo alipigwa chuma ilimsikitisha Kila mtu, hapo hapa kua na fujo yoyote, na hio ndo ILIKUA chanzo Cha machafuko, laumu polisi kwa kulianzisha
Maelezo ya kijinga sana, sababu ya hivo vituo kichomwa ILIKUA kupeleka ujumbe kwamba utekji na ufisadi hatutakiwi sisi sote ni binadamu, Sasa basi nyie wapambe ccm ngoja wachome vitu vyenu ili nanyi msikie maumivu wanayo sikia wazazi pale wanapo poteza wapendwa wao umesikia wewe mbona mi duka langu halijachomwa hao ni pro ccm, maumivu uliyo yasikia ndo mama yake polepole ANAPITIA tena zaidiSababu ya kijinga sana.Kwanini unasema kuhusu vituo vya Polisi tu?Mwendokasi,Vituo vya mafuta haswa vya Lake Oil na maduka na migahawa ya watu wasiohusika yalichomwa moto bure bila sababu halafu unataka anarchy isithibitiwe?