Taharuki yazuka Geita mti ulioanguka wasimama tena ghafla

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Zaidi ya Wakazi 1,000 wa Mtaa wa Mpomvu, Kata ya Mtakuja, katika Manispaa ya Geita wamekusanyika kushuhudia tukio la kushangaza baada ya mti ulioangushwa na upepo mkali uliombatana na mvua kubwa kusimama tena asubuhi iliyofuata.

Tukio hilo limezua gumzo kubwa na hisia tofauti miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.

Mti huo, unaomilikiwa na Kanisa la Golan Gospel Center lililopo mtaani hapo, umeibua mijadala kuhusu uwezekano wa tukio hilo kuwa la miujiza.

Baadhi ya viongozi wa Kanisa na wananchi wameeleza kushangazwa na hali hiyo.
 
Watu wa geita punguzeni ushamba kidogo ndugu zangu.
Mnatafuta kick, zamani mlikua mna trend kwenye mambo ya ukatili saizi mmebadili gia angani.
Wenzenu simiyu walikua na plate namba za fisi
 
Zaidi ya Wakazi 1,000 wa Mtaa wa Mpomvu, Kata ya Mtakuja, katika Manispaa ya Geita wamekusanyika kushuhudia tukio la kushangaza baada ya mti ulioangushwa na upepo mkali uliombatana na mvua kubwa kusimama tena asubuhi iliyofuata.

Tukio hilo limezua gumzo kubwa na hisia tofauti miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.

Mti huo, unaomilikiwa na Kanisa la Golan Gospel Center lililopo mtaani hapo, umeibua mijadala kuhusu uwezekano wa tukio hilo kuwa la miujiza.

Baadhi ya viongozi wa Kanisa na wananchi wameeleza kushangazwa na hali hiyo.
View attachment 3278911
Acheni hizo huo mti utakuwa ulilemewa matawi sasa ulivyolala mizixi haikukatika hivyolivyopuruniatawi yake ndo ukawa mwepesi ukasimama.
Mimi binafsi siamini hamna kitu kama hicho mnataka kupaisha hilo kanisa
 
Zaidi ya Wakazi 1,000 wa Mtaa wa Mpomvu, Kata ya Mtakuja, katika Manispaa ya Geita wamekusanyika kushuhudia tukio la kushangaza baada ya mti ulioangushwa na upepo mkali uliombatana na mvua kubwa kusimama tena asubuhi iliyofuata.

Tukio hilo limezua gumzo kubwa na hisia tofauti miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.

Mti huo, unaomilikiwa na Kanisa la Golan Gospel Center lililopo mtaani hapo, umeibua mijadala kuhusu uwezekano wa tukio hilo kuwa la miujiza.

Baadhi ya viongozi wa Kanisa na wananchi wameeleza kushangazwa na hali hiyo.
View attachment 3278911
Huo mti ni shrine! Ajabu hao wakristo hapo hawaelewi.
 
Haya mambo yapo sana Geita. Hapo ukirudi baada ya week hukuti hata kipande cha huo mti, wataugawana wote wakiamini una nguvu za kutatua shida zao.
 
Zaidi ya Wakazi 1,000 wa Mtaa wa Mpomvu, Kata ya Mtakuja, katika Manispaa ya Geita wamekusanyika kushuhudia tukio la kushangaza baada ya mti ulioangushwa na upepo mkali uliombatana na mvua kubwa kusimama tena asubuhi iliyofuata.

Tukio hilo limezua gumzo kubwa na hisia tofauti miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.

Mti huo, unaomilikiwa na Kanisa la Golan Gospel Center lililopo mtaani hapo, umeibua mijadala kuhusu uwezekano wa tukio hilo kuwa la miujiza.

Baadhi ya viongozi wa Kanisa na wananchi wameeleza kushangazwa na hali hiyo.
View attachment 3278911
Huo mti ni shrine! Ajabu hao wakristo hapo hawaelewi hayo mambo ya kiroho.
 
Geita: Mti ulioanguka miezi mitano iliyopita wainuka na kuanza maisha tena​

Back
Top Bottom