Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kweli wa kusoma hutaki ujinga upo serious na masomo yako alafu unakutana na story za blah blahToeni hapa ujinga tunajiandaa kwenda VETA siye
Acheni hizo huo mti utakuwa ulilemewa matawi sasa ulivyolala mizixi haikukatika hivyolivyopuruniatawi yake ndo ukawa mwepesi ukasimama.Zaidi ya Wakazi 1,000 wa Mtaa wa Mpomvu, Kata ya Mtakuja, katika Manispaa ya Geita wamekusanyika kushuhudia tukio la kushangaza baada ya mti ulioangushwa na upepo mkali uliombatana na mvua kubwa kusimama tena asubuhi iliyofuata.
Tukio hilo limezua gumzo kubwa na hisia tofauti miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.
Mti huo, unaomilikiwa na Kanisa la Golan Gospel Center lililopo mtaani hapo, umeibua mijadala kuhusu uwezekano wa tukio hilo kuwa la miujiza.
Baadhi ya viongozi wa Kanisa na wananchi wameeleza kushangazwa na hali hiyo.
View attachment 3278911
Huo mti ni shrine! Ajabu hao wakristo hapo hawaelewi.Zaidi ya Wakazi 1,000 wa Mtaa wa Mpomvu, Kata ya Mtakuja, katika Manispaa ya Geita wamekusanyika kushuhudia tukio la kushangaza baada ya mti ulioangushwa na upepo mkali uliombatana na mvua kubwa kusimama tena asubuhi iliyofuata.
Tukio hilo limezua gumzo kubwa na hisia tofauti miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.
Mti huo, unaomilikiwa na Kanisa la Golan Gospel Center lililopo mtaani hapo, umeibua mijadala kuhusu uwezekano wa tukio hilo kuwa la miujiza.
Baadhi ya viongozi wa Kanisa na wananchi wameeleza kushangazwa na hali hiyo.
View attachment 3278911
Huo mti ni shrine! Ajabu hao wakristo hapo hawaelewi hayo mambo ya kiroho.Zaidi ya Wakazi 1,000 wa Mtaa wa Mpomvu, Kata ya Mtakuja, katika Manispaa ya Geita wamekusanyika kushuhudia tukio la kushangaza baada ya mti ulioangushwa na upepo mkali uliombatana na mvua kubwa kusimama tena asubuhi iliyofuata.
Tukio hilo limezua gumzo kubwa na hisia tofauti miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.
Mti huo, unaomilikiwa na Kanisa la Golan Gospel Center lililopo mtaani hapo, umeibua mijadala kuhusu uwezekano wa tukio hilo kuwa la miujiza.
Baadhi ya viongozi wa Kanisa na wananchi wameeleza kushangazwa na hali hiyo.
View attachment 3278911
Miti ya Geita ni tofauti na species zingine hahahaGeita: Mti ulioanguka miezi mitano iliyopita wainuka na kuanza maisha tena