Tahasusi ipi kati ya PCM na PCB ina uwanda mpana wa kusoma kozi nzuri zinazoendana na hali ya Dunia ya sasa?

Tahasusi ipi kati ya PCM na PCB ina uwanda mpana wa kusoma kozi nzuri zinazoendana na hali ya Dunia ya sasa?

PCM aiseeeee
Kuna jamaa angu kasoma PCM sasa hivi jamaa ana Library yake kubwa tuu mkuu ipo mbeya mjini...

Bora PCM wakuu
 
Ndugu wadau, nilitaja kujua combination ipi kati ya PCB na PCM ukifauli inaweza kukupa uwanda mkubwa wakusoma course nzuri huko mbele za safari baada ya form six.

Asante sana.
Tambua malengo Yako ni yapi?...,Kisha uliza je tahasusi gani itanipeleka kuwa mtu Fulani mf Daktrai, mhandisi m.k
 
Najiulaumu kusoma PCB japo niligonga one form six. Kumbe kazi za afya ndo zipo hivi za kupelekeshwa na viongozi wa CCM. Diwani wa darasa la saba ananipelesha mwenye Master's ya afya huu ujinga. Dogo komaa na PCM.
Hata kozi zingine wanapelekeshwa pia.... wanasiasa ndio mabossi wenu vumilieni tu
 
PCM & PCB ni combination za watoto wanaotoka familia masikini.

Familia tajiri wanasoma HKL, HGK na HGL.
 
Back
Top Bottom