Mwakani ni mwaka wa uchaguzi na ndio mda wa kuibana serikali kupandisha "boom" na kwa kweli tuwe na msimamo mkaki hata kufikia hatua ya kutangaza kuwanyima kura uchaguzi Mkuu. Nguvu yenu haionekani kabisa na mmebaki kujijengea sifa kisiasa badala ya kuwatetea wanafunzi wenzenu. Matatizo ya wanafunzi wa elimu ya juu ni mengi Sana.
1. Asilmia kubwa hawana mkopo kabisa na hii ni product ya system kandamizi ya priority na non priorty courses
2. Kupanda kwa gharama za maisha bila kupandisha meals and accommodation allowances
3.Ukosefu mkubwa wa hostel kwa vyuo vingi na ni pendekezo sasa kila chuo kisajiliwe kwa kigezo cha kuwa na hostel kwa wanafunzi wake
4. Ucheleweshaji wa pesa za wanafunzi hasa kutoka Heslb .
Nb: Ni muda wenu kama wawakilishi wetu kuonesha uchapakazi wenu katika kulinda na kutetea maslahi ya wanafunzi.