Niko hapa Dodoma,nasubiria serikali ya magamba ielekee ICU,
Lakini,namuona Mh.Membe,Nasari,Magreti Sitta,Chemba,Mwakyembe,wakiongea na viongozi wa serikali za wanafunzi wa elimu ya juu.
nyie tahliso lakini mwafanya kazi yenu vizuri????? cause mkopo saizi uanaanza kuwa hadithi ya bunuasi......... ebu kuweni wamoja msikubali hili jambo likawa implemented............