Tahliso na uzinduzi wa wa website tahliso

Tahliso na uzinduzi wa wa website tahliso

Juma Hamis

Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
60
Reaction score
9
Niko hapa Dodoma,nasubiria serikali ya magamba ielekee ICU,
Lakini,namuona Mh.Membe,Nasari,Magreti Sitta,Chemba,Mwakyembe,wakiongea na viongozi wa serikali za wanafunzi wa elimu ya juu.

source,mimi mwenyewe!
 
nyie tahliso lakini mwafanya kazi yenu vizuri????? cause mkopo saizi uanaanza kuwa hadithi ya bunuasi......... ebu kuweni wamoja msikubali hili jambo likawa implemented............
 
Viongozi wa tahliso ni wakuda kwani hawajali maslahi yetu wenyewe wakishapata pesa zao za posho basi wanatusahau
 
Back
Top Bottom