Tahliso waamua kuitolea uvivu serikali

Tahliso waamua kuitolea uvivu serikali

Mwalupale

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
1,049
Reaction score
674
Tahliso kufanya maandamano ya amani mpaka kwenye ofisi ya waziri mkuu keshokutwa kushinikiza serikali kuwalipa stahili zao wanafunzi wanaofanya fpt kwenye vyuo ambavyo bado havijapata pesa hiyo.
Source; taarifa ya habari ya channel ten ya saa moja leo tarehe 13 august (sasaivi)
 
Mungu awatangulie maana tutakufa njaa, ni aibu kubwa bunge maalumu la CCM kuendelea wakati watoto wa masikini tunakufa njaa.
 
BMK linatafuna pesa kila siku huku madent hawashikiswa.
 
Mungu awatangulie maana tutakufa njaa, ni aibu kubwa bunge maalumu la CCM kuendelea wakati watoto wa masikini tunakufa njaa.

we uclete siasa humu sehemu ya siasa ipo na unaona kuw hujielew had unachangany mafile
 
Back
Top Bottom