MWAKIGOBE
Member
- Nov 1, 2010
- 65
- 3
Maonyesho ya ubunifu uliofanywa na wanafunzi wa mkoa wa kilimanjaro jana ambao wanafunzi walionyesha vitumbalimbali walivyo buni ambapo shule ya same iliibuka wa kwanza kwa kuonyesha mashine ya kiuchuja maji, nafasi ya pioli ilienda greenbird kutoka mwanga hawa walitengeneza dawa ya mmbu, ya tatu ilienda moshi vijijini. Maonyesho haya yalikuwa mazuri, ila wanafunzi na walimu wao walipewa nauli tu, hata chakula hawakupewa, hii inawakatisha tamaa sana wanafunzi wetu.