Taifa ambalo Watu wake wanajivunia mambo ya kijinga kwa kisingizio cha kupata kipato ni taifa la wapumbavu

Wana msemo wao wa "tafuta hela" ukisikia huo msemo kutoka kwa mwanaume ujue maana yake tafuta hela uweze kufanya mambo ya yasiyokua na maana especially starehe na ngono, ukisikia huo msemo kutoka kwa mwanamke maana yake tafuta hela uweze kumhonga mshiriki ngono.
 

Inasikitisha Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…