Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Tatizo samia amwteua watu ambao wamemzidi ujanja kiasi kwamba anashindwa hata kuwaondoa wanapobolonga.Hapana, jpm alikuwa na vitu maalum na ndiomaana baadhi ya wizara zilipewa %200 ya bajeti, jpm akiamua kufanya kitu kinafanyika, kama umesema nitamaliza kwa miezi 18 basi hakikisha ndani ya hiyo miezi 18 unakabidhi mradi, tofauti na sasa hakieleweki kipini kipi, mfano tuliambiwa tozo zinaenda kumaliza tatizo la wanafunzi vyuo vikuu kukosa mikopo je tatizo limeisha?