Taifa halina vipaumbele, linaendeshwa kama biashara ya daladala

Tatizo samia amwteua watu ambao wamemzidi ujanja kiasi kwamba anashindwa hata kuwaondoa wanapobolonga.
 
Mbaya hata hao watunga sera waneshindwa kujua tusimamie wapi, commitment ni zero,tunasongaje mbele.

Imagine kila mwaka wa serikali,serikali inaleta budget ya barabara zisizo kwisha,matokeo yake kabla barabara haijakabidhiwa inaanza kuzibwa viraka
Ni kweli nchi yetu ina matatizo mengi, na sisi ni Watanzania, ukiweza kusaidia popote, kwa namna yoyote, saidia.
P
 
Tatizo samia amwteua watu ambao wamemzidi ujanja kiasi kwamba anashindwa hata kuwaondoa wanapobolonga.
Tatizo si Samia tu,tatizo mfumo umeruhusu hii hali. Ziko projects kubwa zilizokuja na kauli mbiu leo ziko wapi,nani anakumbuka KILIMO KWANZA,Wamarekani walivutiwa sana na proposal hiyo, implementation ikawa zero targeted area zikawa deals zone,fedha ikaliwa mpk leo hakuna anataka kujua wala kuulizia kifo cha project hiyo.
 
Ni kweli nchi yetu ina matatizo mengi, na sisi ni Watanzania, ukiweza kusaidia popote, kwa namna yoyote, saidia.
P

Nchi ina matatizo mengi na wananchi wenyewe ni tatizo kubwa kwahivo mambo yanachanganyana
 
Mjumbe hauwawi!
Your browser is not able to display this video.
 
Ndani ya siku chache zijazo Chato itatambuliwa kama mkoa, ikiwa ni pamoja na kuendeleza miradi iliyokuwa imemsimamishwa huko.

Hii sio ramli.
Mzee wa Chato kashakufa na lake halipo...sasa hivi ni timu msoga imeshika hatamu ndugu...upo?

Natafuta urafiki na Nape / January ila bado sijafanikiwa.
 
Mzee wa Chato kashakufa na lake halipo...sasa hivi ni timu msoga imeshika hatamu ndugu...upo?

Natafuta urafiki na Nape / January ila bado sijafanikiwa.

Sipo hapa kuparurana nimeeleza tu kile kilichopo jikoni, Chato itatangazwa kuwa mkoa siku si nyingi.
 
Sipo hapa kuparurana nimeeleza tu kile kilichopo jikoni, Chato itatangazwa kuwa mkoa siku si nyingi.
Jambo hili lilikuwa on process kabla mwendazake hajaondoka,na wazee wa Chato walimuomba rais mteule asiachie jambo hili njiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…