Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
.... kwani walipokuwa chini ya UK ni uhuru gani waliukosa? Malkia si alikuwa cheo tu cha heshima kisicho na mamlaka ya ku-enforce chochote kiutendaji?
Wanaona kama bado wanatawaliwa ingawa bado wana umasikini wa kutupa
Hapo sijui ni uhuru gani wanaoutaka