Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Sep 19, 2020 #21 dudus said: .... kwani walipokuwa chini ya UK ni uhuru gani waliukosa? Malkia si alikuwa cheo tu cha heshima kisicho na mamlaka ya ku-enforce chochote kiutendaji? Click to expand... Wanaona kama bado wanatawaliwa ingawa bado wana umasikini wa kutupa Hapo sijui ni uhuru gani wanaoutaka
dudus said: .... kwani walipokuwa chini ya UK ni uhuru gani waliukosa? Malkia si alikuwa cheo tu cha heshima kisicho na mamlaka ya ku-enforce chochote kiutendaji? Click to expand... Wanaona kama bado wanatawaliwa ingawa bado wana umasikini wa kutupa Hapo sijui ni uhuru gani wanaoutaka