Taifa la Iran lakumbwa na matatizo ya mtandao ghafla

Taifa la Iran lakumbwa na matatizo ya mtandao ghafla

Mzayuni anazidi kumtekenya Muajemi ajae ili amchape.

Hizi zote ni mbinu za kivita wameshamjua ni mtu wa ku-panic sasa atachokozwa wee siku ajichanganye aongee hovyo watu wamwage moto.
 
Ukiona hivyo ajue adui ashazma ndani ya Teheran.. ake mkao wa kutoa
 
Naam button za internet zipo silicon valley uko watu wakiamua kuzima wana zizima tu wapuuzi wana rudi stoneage tofauti na hapo wakae na baba zao warusi waunde internet yao 😂😂
 
Safi sana! Utawala wa kigaidi wa Tehran ushughulikiwe bila huruma.
 
Vita sio kitu kizuri, isikie kwa jirani.

Eeh MUUMBA tunakuomba uijalie dunia amani na upendo, haya machafuko ya kila siku kwa ndugu zetu wa DRC, South Sudan, Somalia na kwingineko yamekuwa mwiba kwetu.

Ni heri kula mihogo na ndimu kwenye amani kuliko biriani vitani.
 
Ayatollah azidi kujizuia asishambulie Israel
Kwani akijaribu inaweza kuwa ndo MWISHO wa utawala wake
 
Back
Top Bottom