Vita sio kitu kizuri, isikie kwa jirani.
Eeh MUUMBA tunakuomba uijalie dunia amani na upendo, haya machafuko ya kila siku kwa ndugu zetu wa DRC, South Sudan, Somalia na kwingineko yamekuwa mwiba kwetu.
Ni heri kula mihogo na ndimu kwenye amani kuliko biriani vitani.