ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Hii ni elimu ya juu Sana. Kama uelewa wako ni mdogo, utabaki kupolomosha matusi.
Taifa LA Israel limejengwa juu ya watoto 12 wa Yakobo.
Miongoni mwa wale watoto, alikuwepo mtoto kwa jina la YUDAH.
Kutokana na huyo mtoto, Yesu alizaliwa kwenye huo ukoo. (Ndiyo maana anaitwa Simba wa Yudah).
Sasa ukristo umejengwa na huyo Yesu. Sisi Tuliomuamini tumeunganishwa humo. Wote tuliompokea kwa njia ya imani ni watoto wa Mungu. Yohana 1:12.
Ukiyenda mbinguni ni hivyo. Mbingu imejengwa juu ya msingi wa Israel. Mji wa Jerusalem Una misingi 12 iliyoandikwa majina 12 ya wanafunzi wa Yesu.
Kwa sasahivi, wa Israel wamefungwa kwa muda, Ila hapo mbele Watafunuliwa na tutaungana nao. (Warumi 11:25-28).