Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Wakati nasoma O level nimeshuhudia kwa maandishi kuwa kunabiashara inaitwa Triangular Trade ni biashara inayohusisha mabara 3,moja ya bidhaa muhimu ni Watumwa kutoka Afrika siwezi kushangaa Taifa la Marekani kuwa na mchanganyiko wa Rangi.
Wakati najiribu kuangalia kwa ukaribu uwepo wa Taifa Teule simulizi ilinitaka kurudi katika vitabu vya kiimani hasa kwa Mtume Jakobo,Yusuph/Joseph na Musa ndipo nilipoijua vyema historia ya Taifa la Isreal,nikajaribu kusoma na jinsi TAIFA hili lilivyomegewa ardhi kama taifa mwaka 1948 mpaka sasa najaribu kufikiria uwepo wa taifa la israeli katika ramani ya asia ni pandikizi la marekani kuendeleza chokochoko za kubomoa ustaarabu na utamaduni wa kiarabu.
taifa hili ni batili kwa eneo lote,ni mapandikizi ya marekani kulaghai dunia na kuharibu mila za kiarabu.