Taifa la Tajikistan lenye asilimia 96% waislamu, lakataza uvaaji wa hijab, na watoto kutohudhuria sherehe za eid

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wameamua kurudia mavazi yao ya asili sio haya mambo ya kufanya wanawake wanatembea mjini kama mazombi au mizimwi wameghubika madude meusi kote......
Dunia inaendelea kupata elimu.
======================

Tajikistan, a 96% Muslim country, BANS women from wearing the Hijab. Children will also be banned from taking part in Islamic Eid activities, under a new law. The Tajik parliament’s upper house has approved a bill banning “alien garments”that will formally prohibit wearing, importing, selling and advertising “clothes alien to Tajik culture.”

This term is widely used by officials to describe Islamic clothing and Hijabs with officials associating the clothing with ‘Islamic extremists.’Additionally, the bill bans children from participating in celebrations for the Islamic holidays of Eid. Individuals refusing to follow the new law face fines of up to $740, while legal entities may be fined up to $5,400. Government officials and religious authorities could incur even higher fines of up to $5,060 if found guilty of violating the “traditions and celebrations” law.

View: https://twitter.com/OliLondonTV/status/1803906724975333819
 
Haya mpende msipende mtakuja kukubaliana nami tu kwamba hakuna cha dini ila hizi ni tamaduni za watu lakini wameamua kuziita dini ili kutapeli tu watu kiakili.

Wewe kama kweli unamletea mtu dini utamwambiaje aachane na majina yake ili atumie ya kwako au eti avalie mavazi kama ya kwako na aachane na mavazi yake hadi lugha eti aachane na lugha yake na atumie yako. Hii ni kucheza na akili za watu wapumbavu ambao duniani kote wanapatikana Afrika pekee.

Lakini hata hivyo katika nchi za Afrika Magharibi tofauti na nchi za Afrika Mashariki watu wengi watasema ni wakristo au waislam lakini huwezi kukuta wakiabudu tamaduni za wenye kuleta hizo zinazoitwa dini kama watu wa Afrika Mashariki wanavyofanya.

Watu wa mataifa ya Asia ya kati kama Tajikistan wana tamaduni zao ambazo hawawezi kukubali kuzisalimisha na kufuata utamaduni wa kiarabu kwa kisingizio cha dini kwa sababu wanajitambua na hawako kama watu wa Afrika Mashariki.
 
Mama yake Yesu alivaa hijabu unajua sababu gani? Au ni utamduni wa kislamu pia kwa hio mama yake Yesu alikuwa Muislam au unasemaje?
 
Wameamua kurudia mavazi yao ya asili sio haya mambo ya kufanya wanawake wanatembea mjini kama mazombi au mizimwi wameghubika madude meusi kote......
Dunia inaendelea kupata elimu.
======================

Tajikistan, a 96% Muslim country, BANS women from wearing the Hijab. Children will also be banned from taking part in Islamic Eid activities, under a new law. The Tajik parliament’s upper house has approved a bill banning “alien garments”that will formally prohibit wearing, importing, selling and advertising “clothes alien to Tajik culture.”

This term is widely used by officials to describe Islamic clothing and Hijabs with officials associating the clothing with ‘Islamic extremists.’Additionally, the bill bans children from participating in celebrations for the Islamic holidays of Eid. Individuals refusing to follow the new law face fines of up to $740, while legal entities may be fined up to $5,400. Government officials and religious authorities could incur even higher fines of up to $5,060 if found guilty of violating the “traditions and celebrations” law.

View: https://twitter.com/OliLondonTV/status/1803906724975333819

Sisi huku tunajifanya wafia dini kuliko wenye dini
 
Qur'an ndio inamsifia vile na bibilia, vitabu vya Mungu haviwezi msifia mwanamke kuwa ni mwenye heshima kama havai hijabu.
"Mwenye heshima km havai hijabu" duh! mbn wanawake wenye maumbo makubwa hasa wa kiafrica wakivaa hijabu bado msala tu...mavaz hayo ni itamaduni wao tu hata sisi tungeeza kubuni nguo zetu za heshima kuliko kuendelea kuenz utamaduni wao tu
 
We tatizo lako unafananisha mbingu na ardhi 😄

Kuna watu wanavaa hijabu kwa kumuogopa Mungu na kuwatu wanavaa hijabu kwa mabambo au kuficha ujinga wao.

Sa we unadhani hijabu akili yako nini? Mana ya hijabu ni kujikinga sa kama hujikingi na machafu hio haitwi hijabu inaitwa ujinga.
 
Mama yake Yesu alivaa hijabu unajua sababu gani? Au ni utamduni wa kislamu pia kwa hio mama yake Yesu alikuwa Muislam au unasemaje?
Wanawake katika mashariki ya kati walivaa hiyo hijabu enzi hizo ili kuwasaidia kukinga nywele zao dhidi ya vumbi ambayo ni nyingi sana katika eneo hilo.

Ndipo jamii za huko wakaifanya kama utamaduni wao na kudanganya waafrika kwamba ni hitaji la Mungu.

Ni kawaida kwa waarabu na wazungu kudai kwamba tamaduni zao ni matakwa ya Mungu lakini cha ajabu ni kwamba ni waafrika tu ndio wanaoamini porojo hiyo.
 
Qur'an ndio inamsifia vile na bibilia, vitabu vya Mungu haviwezi msifia mwanamke kuwa ni mwenye heshima kama havai hijabu.
Wewe hujui historia ya hijab ila ni ushabiki maandazi tu na hata hivyo halituhusu waafrika labda wale ambao bado wana kasumba ya utumwa.
 
Back
Top Bottom