Taifa la Tajikistan lenye asilimia 96% waislamu, lakataza uvaaji wa hijab, na watoto kutohudhuria sherehe za eid

Waisharamu wa mbagala wata nuna
 
Muislam hafati nchi wala kabila, anafata kitabu. tafauti na wakiristo wanamfata PAPA. muislam hata akiwa sheikh siku akitembea na bukta sokoni muislam hatakiwi amfate sio kigezo chake
 
Mama yake Yesu alivaa hijabu unajua sababu gani? Au ni utamduni wa kislamu pia kwa hio mama yake Yesu alikuwa Muislam au unasemaje?
Wewe islamist jinga kweli, umeambiwa hao watu hizo ni tamaduni zao, lakini haikuingii akilini. Wayahudi ilikuwa ni tamaduni yao wanawake kujifunika kichwa, na wala hawakujifunika kichwa kama wanavyojifunika waarabu wenu (hijabu au burka). Awe muislam kwani wakati huo hiyo dini yenu ya shetani allah ilikuwepo!!?? Usiwe juha wewe muabudu ya shetani allah na mufuasi wa Mohammed anayeoa kitoto cha miaka 6 (kiingereza tunamuita pedophile)
 
Mama yake Yesu alivaa hijabu unajua sababu gani? Au ni utamduni wa kislamu pia kwa hio mama yake Yesu alikuwa Muislam au unasemaje?
Mama yake yesu wa wapi na Wewe, Sijui Allah ametokea wapi..???. 😐😐😐
 
Muislam hafati nchi wala kabila, anafata kitabu. tafauti na wakiristo wanamfata PAPA. muislam hata akiwa sheikh siku akitembea na bukta sokoni muislam hatakiwi amfate sio kigezo chake
Hamna cha kitabu wala nini, Hivyo vitabu vimeandikwa na washikaji tu,
 
Ndivyo ilivyoandika biblia yako ya Queen James Version ??
 
Mama yake Yesu alivaa hijabu unajua sababu gani? Au ni utamduni wa kislamu pia kwa hio mama yake Yesu alikuwa Muislam au unasemaje?
Mmmh ulionao wapi? Kitabu Gani wameandika Maria alivaa hijab?
 
Muislam hafati nchi wala kabila, anafata kitabu. tafauti na wakiristo wanamfata PAPA. muislam hata akiwa sheikh siku akitembea na bukta sokoni muislam hatakiwi amfate sio kigezo chake
Ndio walivyokudanganya? Acha kupotosha ukristo it's better to keep quiet
 
Wewe mgalatia mavi umekurupushwa na hii habari ukasahau hata kuchamba na mifuko ya gazeti
Hizi ndizo nguo za Tjikistan, utofauti uko wapi na hijab
Haya rudi ukayafute na vipisi vya gunzi

Mmmh ulionao wapi? Kitabu Gani wameandika Maria alivaa hijab?
Klia siku nasema JF imejaa kundi kubwa la wajinga
Japo hakuna picha halisi ya Mariam, hizi ndio picha za wagalatia waliokuletea hio dini ya vatican
Sasa wewe nenda mitandaoni kalete picha ya Mariam akiwa na kalikiti au rasta za mfu wa kihindi zilizopachikwa na saluni ya Sinza

Mama yake Yesu alivaa hijabu unajua sababu gani? Au ni utamduni wa kislamu pia kwa hio mama yake Yesu alikuwa Muislam au unasemaje?
Umemaliza mjadala,hata magisterial wa kikatoliki,wanqvyaa hijab ya kitambaa kizito kichwani,na ni.mazombie?
 
Unapishana na mdada jua kali kavaa hijabu na nikab jua kali la mchana tena mavazi Meusi anatoa fukuto la uvundo wa jasho .. jua kali na mavazi Meusi Dah Hapana kwa kweli
Na wale masister wa kikristo wanaovaa vitambaa visitors kichwani ni.mazombie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…