Taifa la Tanganyika litarudi likiwa imara zaidi baada ya kupitishwa kwenye tanuru la moto.

Nani aliyekwambia Tanzania sio imara?
 
Taifa la Tanganyika limejifunza mengi baada ya kifo cha Hayati Rais John Magufuli na kupelekwa utumwani, yaliyotokea oktoba 29 yamerudisha kumbukumbu za Watanganyika.
Tanganyika alikufa, akazikwa kitambo, hawezi kukufuka tena!, aliisha geuka mavumbi!, aliyepo sasa ni Tanzania!. Wale mnaosubiri kwa hamu kufufuka kwa Tanganyika, mtasubiri sana!. Kijana Tanganyi, kapenda kufa, kaoza kwa binti Zanzi Kisa cha Kweli cha Binti Zanzi Aliebakwa, Akaokolewa na Kujiozesha ili Asibakwe Tena!, Tanganyi Kaoa, Kapenda Kweli, Kafa Kaoza!, Atakubali Kuacha?

P
 
FB_IMG_1762334534298.jpg
downloadfile-1.png
 
Back
Top Bottom