Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kiongozi gani hana huruma na raia anaowaongoza!Kwa sasa habari ya mjini ni kumtaka atawale milele! Yaani ikitokea hivyo, nitakuwa Mtu wa kwanza kujitolea kwenda kuishi Sayari ya Mars iwapo Mabeberu watafanikiwa katika utafiti wao unao endelea...
Wakulaumiwa ni JKBiashara za wananchi zimekufa, wafanya biashara wengi wamekata tamaa. Mzunguko wa pesa umedumaa, masoko yamesimama...
Nadhani tuliyataka sisi wenyewe.Wakulaumiwa ni JK
Unafiki ni ahadi No.1 kwa mwana CCM.Umenena Ukweli mkuu
Hata ishi milele Mungu nae ni wa wote mateso yakizidi neema inakaribiaKwa sasa habari ya mjini ni kumtaka atawale milele! Yaani ikitokea hivyo, nitakuwa Mtu wa kwanza kujitolea kwenda kuishi Sayari ya Mars iwapo Mabeberu watafanikiwa katika utafiti wao unao endelea.
Wakisema tu "wanaotaka tukijitolea" faster nanyoosha mkono! Ila siyo kuishi milele chini ya utawala wa huyu mzee. Mtu gani asiyejali maisha ya wengine.
Hiyo 1b na point something utaipata wapi🙄Kwa sasa habari ya mjini ni kumtaka atawale milele! Yaani ikitokea hivyo, nitakuwa Mtu wa kwanza kujitolea kwenda kuishi Sayari ya Mars iwapo Mabeberu watafanikiwa katika utafiti wao unao endelea...
Mh, tuliyataka weyewe?Nadhani tuliyataka sisi wenyewe.
Kuhama sio suruhisho.Wakimpitisha atawale milele ndio tutaanza na sisi kuhamia nchi za watu rasmi sasa
Zamani nilikuwa nashangaa kwa nini waethiopia wanakimbia kwao
Ndio anamshauri asijali raia wake?Wakulaumiwa ni JK
Kwa sasa habari ya mjini ni kumtaka atawale milele! Yaani ikitokea hivyo, nitakuwa Mtu wa kwanza kujitolea kwenda kuishi Sayari ya Mars iwapo Mabeberu watafanikiwa katika utafiti wao unao endelea.
Wakisema tu "wanaotaka tukijitolea" faster nanyoosha mkono! Ila siyo kuishi milele chini ya utawala wa huyu mzee. Mtu gani asiyejali maisha ya wengine.
Wewe bwege unaweza kuta hata mlo moja tabu kwako.Endelea kusubiri mitano iishe kama maisha yanasimama. Kama ilichapwa kwa fimbo ajaye atakuchapa kwa nng'e. Screen shot save kwa matumizi ya baadae
Endelea kulialia humu wenzako mwendo mdundo, na Kama ni wa kiume unakaribia kuolewa.Wewe bwege unaweza kuta hata mlo moja tabu kwako.
Umenikumbusha enzi za kuduumu fikraKwa sasa habari ya mjini ni kumtaka atawale milele! Yaani ikitokea hivyo, nitakuwa Mtu wa kwanza kujitolea kwenda kuishi Sayari ya Mars iwapo Mabeberu watafanikiwa katika utafiti wao unao endelea.
Wakisema tu "wanaotaka tukijitolea" faster nanyoosha mkono! Ila siyo kuishi milele chini ya utawala wa huyu mzee. Mtu gani asiyejali maisha ya wengine.