muislamsafi
Member
- Jan 25, 2012
- 78
- 20
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
Nikweli kabisa,jakaya ame waongoza wa tz kushabikia unzinzi.
Simu inaita halafu demu anakimbilia nje kuongea, kuna siri gani? Kuna heshima gani?
sasa hapo hakuna upendo. asiye kupenda achana nae asije umiza moyo wako.
Kimsingi inatakiwa mwanamke ampende mwanaume zaidi, hapo ndo kuna amani na furaha.
Haitakiwi mwanaume ampeeendee mwanamke saaana, halafu mwanamke ndo hivoo wala hajali... matokeo yake ni mateso na hata kifo.
RIP Kanumba - Sote binadamu ni wakosefu na tujifunze.
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
Nyangombolijitahidini kuwa wise. Rais is a parent na hata mtoto angekuwa kibaka ni wake. Beside, unuhakika gani kama Lulu na Marehemu ni wapenzi? Wakiwa wachumba je? Na tena hawafanyi ngono hadi siku ya ndoa? Mimi watu kama wewe mnayekashfu mfu nadhani hamjalelewa ki heshima. Nisamehe kama nimekukosea but mnakera. Hizo tuhuma mnazirusha kwa Marehemu atarudi lini azijibu? Kama ungekuwa karibu ningekung'ata kwa hasira mkuu wangu. Stop doing so and who knows kwako itakuwajme? Kanumba alikuwa na nidhamu ndiyo maana hakutaka watu wayaone haya na kama si kifo hakuna mtu angejua. Kwa maana hiyo ndiyo maana anaitwa kioo cha jamii. Fikiria before posting kitu ambayo nina uhakika unajua itaumiza wengine. Grow up.
nafiri kama wewe sio mzinzi, uwe wa kwanza kurusha jiwe. however ujue kuwa Mungu anapenda watu wote, wazinzi na wasio wazinzi. sote tunaishi kwa neema tu. kama Mungu angekuwa kama wewe hivi, basi siku ileee, unayoikumbuka uliyozini angelikuulia palepale kwenye kitanda, lakini ana huruma alikuacha tu, ukamaliza, ukaondoka, siku ukajifikiria ukarudi kwake ukatubu akakusamehe na sasaivi unarusha mawe kwa wenzio. hapa hatushabikii uzinzi wa mtu, tuna msiba wa mtu aliyekuwa balozi wa tz katika sanaa kwa nchi mbalimbali za afrika mashariki na ameingiza ajira kwa watu wengi waliokuwa wakisambaza kazi zake za sanaa. ni muhimu kuelewa kuwa, wasanii wanatakiwa kutathiminiwa sana. kumbuka kagame alituma hadi ndege kuwachukua wale waimba kwaya chrust ambassadors....tuwajali watu wetu. don't judge his uzinzi, Mungu angehesabu maovu hakuna ambaye angesimama.
mimi nimependa sana hii, nimeona kumbe watz tuna umoja sana, hii kitu imetuunganisha watz sana sana. mimi hapa niko kahama shinyanga, huwezi amini kuna wasukuma walilia mitaani ajabu huku usukumani. kauli kama yako hiyo ikiitoa huku usukumani, unaliwa nyama nakwambia...and some of them don't even know whether incident ilitokana na uzinzi, wao wanamwangalia kanumba as kanumba hawaangalii uzinzi wake. Mungu anisaidie mimi binafsi kwasababu bado tu ni mwenye dhambi. wala siihitaji kuwanyoshea wengine vidole, labda kama ni kuwaombea tu Mungu awarehemu wageuke.
wewe ni nani hadi um judge mwenzako? Kuhukumu tujifunze kumwachia mungu.
Ndugu yangu umestuka kivipi, hiyo ni kweli kabisa shetani huko kuzimu amefurahi kwa kuliokota taifa la Tanzania!!!!!!!!! Watu wanafanya vitu vilivyo kinyume kabisa na kumpendeza Mungu wetu, kushabikia kifo cha uzinzi ni laana taifa letu linapelekwa kwenye laana na wakubwa wa nchi yetu!!! Ehe Baba Mungu tusamehe utuepushe na laana hii ya uzinzi!!! Watoto wetu tunawapa somo gani sasa, inasikitisha kweli sijui tufanye je tuweze kupona ?????????It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
.....He said Lulu who is a prime suspect was safe in the police custody, but was nursing some minor injuries sustained during a fight with Kanumba. The latter reportedly hit her with a machete (panga) resulting in injury to her private parts.