Tatizo si kuombewa na mapadri maana hata jambazi huombewa, tatizo ni serikali nzima kushabikia ibada hata isiyowahusu (nimesema serikali nzima) ikizingatiwa kifo chenyewe kilivyotokea ni cha aibu, at least serikali ingepeleka hata mwakilishi mmoja.Umesema marehemu alikuwa katika matendo yasiyompendeza Mungu. Kwa mujibu wa ratiba ya mazishi, kabla ya mwili wake kuhifadhiliwa, kulikuwa na ibada ya kumwombea. Kwa hiyo basi hao mapadri au wachungaji (ambao naamini ni Watanzania) walioongoza hiyo ibada ya mazishi walikuwa pia wanashabikia uzinzi/ngono/uasherati?
Umesema marehemu alikuwa katika matendo yasiyompendeza Mungu. Kwa mujibu wa ratiba ya mazishi, kabla ya mwili wake kuhifadhiliwa, kulikuwa na ibada ya kumwombea. Kwa hiyo basi hao mapadri au wachungaji (ambao naamini ni Watanzania) walioongoza hiyo ibada ya mazishi walikuwa pia wanashabikia uzinzi/ngono/uasherati?
ASIYE KUWA NA DHAMBI AWE WA KWANZA KUMPIGA KANUMBA JIWE!i
well said......hatuhuzunishwi na kifo cha YESU aliyetufia msalabani bali twahuzunishwa na aliyefia UZINZINI...YEHOVA ATUREHEMU
Taifa la kishabiki na kinafiki saaana tu........ukitaka kujua unafiki wa watanzania (haswa viongozi wetu)we angalia wakati wa misiba au matukio...mara nyingi watu hawajikingi wala kuhamasishana kabla ya matatizo lakini matatizo yanapotokea utaona unafiki wa watanzania.....kila mtu atajifanye yeye ndie aliyeguswa zaidi......Mifano iko miiingi tu...juzi hapa hawahawa viongozi wakishirikiana na watanzania wooote tu (wagonjwa)walihamasishana kwenda kwenye msiba wa kunywa kikombe cha babu.......nchi nzima ikasahau huduma za tiba mahospitalini na watu wakawa wooote wanaelekea loliondo kwa babu......leo hii watu wanakufa sisikii anaezungumzia hiii misiba........nchi ya kinafiki sana hii...na hizi laana hazitatuacha.......Nchi inayopata viongozi wake kishirikina....nenda bagamoyo ukaulize wazee kule.......nchi yenye viongozi wanafiki hii.....leo wafanyakazi madaktari wanalia matatizo wanagoma wagonjwa wanakufa....rais anapanda ndege anasafiri nje ya nchi kama vile hamna kilichotokea......leo anakufa msanii mmoja....rais huyohuyo anakuwa wa kwanza msibani.........unafiki mtupu.......Juzi hapa serikali inaua raia wasio na hatia songea.........hakuna aliyeonekana kwenye kuwazika wale raia.....hata rais mwenyewe hajazungumzia msiba ule mkubwa kwa raia...leo anakufa msanii mmoja serikali nzima inahamia msibani.........nchi ya kinafiki saana tu hii.......hizi ni laana tu hamna zaidi...ndivyo ninavyoweza kuitafsiri TZ.....It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
Ina maana wewe hujajifunza kitu kutokana na msiba huu? Kwa hiyo likitokea kosa la aina hii utasema the same halituhusu.Hayo ya uzinzi nadhani sisi wanadamu hayatuhusu kilichofanyika watu wamemzika kama kawaida hayo mengine ni yeye na mungu wake...halafu watu hawewezi kushabikia msiba.
Acha uongo wewe,..
hauwezi kuwa bilionea kama hauna milioni.
Juzi hapa tulikua tunasikia ushuhuda wa jamaa alotupwa
south africa kufanya kazi za freemason na mwishoni aka
kimbia baada ya kuumia.
Nyangomboli
Umeongea kwa gadhabu sana lakini inaonekana kama hujui au ume-overlook lengo la hoja yenyewe. Unaweza kutuambia nidhamu ya Kanumba hadi aitwe kioo cha jamii ni ipi, kutembea na mtoto au kuigiza mambo ya ngono au kufa katika mazingira ya uzinzi? Kama si uzinzi aliokuwa anafanya unaweza kutuambia yule mtoto underage alikuwa anatafuta nini kwa Kanumba usiku wa manane. Hicho ndicho unakiita kioo cha jamii. Kama Kanumba ni kioo cha jamii basi ndio maana mleta hoja anasema tumekuwa taifa la kushabikia uzinzi na kuupaka marashi.
Kwa uelewa wangu, Kanumba amechangia taifa kuendeleza uvivu, badala ya kukaa na familia zetu hasa jioni kutafakari tujengeje taifa, kina mama wanawaza kungojea maigizo ya uongo na ngono zembe, amefanikiwa sana kuwafundisha kinamama jinsi ya kuwa cheat wanaume zao. Vile vile amechangia sana kurudisha nyuma maadili ya vijana wetu, hasa kitendo chake cha kutembea na mtoto mdogo, kimeniuma sana nikizingatia mtoto wangu wa kike amejifunza nini wakati kamuona hata rais kumbe anafurahia matendo hayo, nitaanzia wapi kumuonya, it is a pity indeed to the president and its cabinet.
Mkuu naomba nikuunge mkono.. Ninachoona kwa post hii na comments nyingi humu ni jealousy related..
UNAJUA VITU VINGINE NI KUKURUPUKA ,WEWE UNAAMBIWA ALIKUWA MPENZI WAKE,sasa mambo ya kafanya uzinzi umejuaje kama walikuwa wapenzi wanaosubiri wakishafunga ndoa ndio waanze kufanya utajuaje hata kama walikuwa wanakaa pamoja huwezi jua,usikimbilie tu kuhukumu kilichomtokea HUYU JAMAA HATA KAMA ANGEKUWA AMEMUOA KWA NDOA HALALI HUYO LULU BADO POLISI ISINGEMUACHA,hicho kitu kinatokea mpaka wanandoa swala la mtu kuanguka na kufa mbona ni la kawaida kwa dunia ya sasa hatujua alipata kizunguzungu,presha,pombe nyingi akapepesuka akaanguka vibaya au kweli huyo msichana kamuangusha,hata kama umeoa kitu kama hii ikikutokea ndugu wamfiwa hawawezi kukuelewa tuwe wawazi jamani hii imetokea imetokea tusiingize mambo sijui uzinzi,au kutoaminiana huwezi juaIt is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
Tatizo si kuombewa na mapadri maana hata jambazi huombewa, tatizo ni serikali nzima kushabikia ibada hata isiyowahusu (nimesema serikali nzima) ikizingatiwa kifo chenyewe kilivyotokea ni cha aibu, at least serikali ingepeleka hata mwakilishi mmoja.
imeandikwa USIHUKUMU USIJEUKAHUKUMIWA! We ni mtakatifu nani mpaka umuhukumu Kanumba??Huna mamlaka uulizapo swali hilo! aliyeuliza check status yake kiroho, chunga sana! kamwe usijivike joho la kuhani kama wewe si mlawi.