MamndenyiTanzania nakupenda sana taifa langu. chama hapaje.
Mamndenyi
Nimelisoma shairi haya mambo ya watu wa mjini wasio na kazi na wasiotaka kujishughulisha kwa sisi ambao tumeamua kilimo kwanza mambo burudani tupu umeme ukikatika tunatumia chemli; simu kwetu bado anasa; mambo ya kuokoteza barabarani hayani hatuna muda nayo tumeamua kuoa; kiingereza ni lugha tu kama kigagaikoko kwetu haina mshiko; dada zetu wa vijijini jembe mtu hawana muda wa kuomba wanatumia baiskeli zao wenyewe; kusoma na kuandika kwetu kijijini vijana wetu wanajituma hawana muda na bongo flava; huku burudani tupu!!
TAIFA LANGU
*Taifa ambalo mabinti zake wakimuona mzungu wanadhan ana hela
*Taifa ambalo ukiongea kingereza unaonekana umesoma sana
*Taifa ambalo ukiwa na simu nzuri we ni mjanja hata kama vocha unaweka jero jero
*Taifa ambalo m2 kwao hawana umeme ila analalamikia taneSCO wanaboa
*TaIfa ambalo warembo wameshaona wao daima ni wakupewa tu
*Taifa ambalo UKIWA NA GARI HUTONGOZ UNATOA 2 LIFTI KI2 Shaaaa
*TAifa ambalo mwanafunzi anafaulu huku hajui kusoma wala kuandka
nime copy na paste somewhere
Mamndenyichama nipe jina la kwenda nalo,
nikipata katrekta katanisukuma sana huko shambani,
na utakuwa umetupa ndoana baharini ikatoka na samaki aliyemeza dhahabu.
Mamndenyi
pale huitaji jina kisu chako tu wakikuwekea zengwe tumia jina la fisadi yule aliyelikimbia kanisa hapashindikani kitu kwa jina lake; nina uhakika utafanikiwa mimi mlala hoi mwenzako nimekwenda kivyanguvyangu nimepata.