Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Hii ni historia ya Tanganyika ambayo inasimuliwa na Sheikh Zuberi bin Yahya.
Anasema Sheikh Zuberi( pay attention) Seyyid Majjid, Sultan wa Zanzibar kuanzia Octobet 19,1856 mpaka October 7, 1870, alininua kiwanja kikubwa maeneo ya Mzizima eneo ambalp linajumuisha viwanja vya Ikulu,kanisa la St. Joseph na hospital ya Saratani.
Hiki kiwanja alikinunua kutoka kwa Mzee Tambaza.
Sasa,huyu Sultan akaendelea kuishi Zanzibar, lakini hapa"Ikulu" akajenga Chuo cha Uislamu( Chuo,mind you,siyo msikiti).
Kwa hiyo Sheikh Zuberi anasema pale Ikulu ilikuwa msikiti, hospitali ya Ocean Road pia ulikuwa msikiti,na kanisa letu la St Joseph, alas, pia ulikuwa msikiti.
Kwa hiyo kutokea pale Ikulu,Uislamu ulienea kwenda Congo, Msumbiji, Zimbabwe.
Huyu Shrilh Zuberi, he died five years ago.