Taifa letu lina watu wengi wasiowaza vizuri

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,923
Reaction score
40,246
Habari wana JF,

Kwa masikitiko makubwa naomba nitoe maoni yangu chefuzi. Watu wetu wana IQ ndogo, kwa sababu ya hofu wanashangilia udhalimu na kupigia mapambio uonevu.

Je, kazi ya akili ni nini, ikiwa haikufikirishi? Je, kazi ya elimu ni nini ikiwa haikuelimishi? Ikiwa unauza utu wako kwa mkate, nini kitakushinda kuuza wenzako kwa kipande cha kioo?

Historia itatuhukumu, wajukuu zetu watastaajibishwa na namna yetu duni ya kufikiri.
 
Tufanye jambo gani Mkuu, au na ww ubongo umekwama, kulopoka bila action na wenyewe ni ukosefu wa akili.

Kila la kheli Mkuu ngoja nikale ugali kisamvu nilale mie.

Ulizia pesa wakuzime kama taa.
 
Apedomia.....Unyani bado tunao mkuu ktk jamii zetu za kiafrika hususani Tanzania imezidi
 
Habari wana JF,

Kwa masikitiko makubwa naomba nitoe maoni yangu chefuzi. Watu wetu wana IQ ndogo, kwa sababu ya hofu wanashangilia udhalimu na kupigia mapambio uonevu.

Je, kazi ya akili ni nini, ikiwa haikufikirishi? Je, kazi ya elimu ni nini ikiwa haikuelimishi? Ikiwa unauza utu wako kwa mkate, nini kitakushinda kuuza wenzako kwa kipande cha kioo?

Historia itatuhukumu, wajukuu zetu watastaajibishwa na namna yetu duni ya kufikiri.
Asante sana kwa kuongea ukweli Mungu akubariki.
 
Back
Top Bottom